Leo ni Idd El Fitr Dunia nzima isipokuwa Tanzania

sasa kama ni kuuona, kesho wametangaza ndio sikukuu na bado haujaonekana.
mufti katumia kigezo kipi?
 
sasa kama ni kuuona, kesho wametangaza ndio sikukuu na bado haujaonekana.
mufti katumia kigezo kipi?
Mkuu kwenye uislamu siku za kufunga Ramadhani ni 29 au 30 kutegemea na muandamo wa mwezi,sasa kama leo wanafunga Ramadhani siku ya 30 ina maana kesho automatic ni Eid coz hakuna Ramadhani ya kufunga siku 31
 
Wanachoamini hao watu no matter what. Hakuna mwenye haki ya kumhukumu mwenziye . Kwa sababu kila moja ni mtenda dhambi kivyake . Na huo ndiyo ukweli . Wewe unaweza kumuona shoga kama mwenye dhambi kupitiliza . Lakini ukawa ni jambazi unayeua watu, ukawa ni fisadi unayekosesha wenzio huduma , ukawa ni dictator nk. So dhambi inategemea na tafsiri yako lakini si ya Mungu.
 
watanzania hawaabudu waarabu hawaangalii mwezi wa mwarabu uarabuni wanaangalia mwezi unaoandama Tanzania sio uarabuni
mufti akasema haujaandama hata comoro.

Sasa mufti kusema haujaandama comoro kwani sisi tunaabudu wacomoro mpaka mufti aseme comoro kama reference ?
 
Bora tunatumia Gregorian Calendar,tungekuwa tunatumia hii mifumo ya Shaban mara mwezi Ramadhan ingekuwa fujo tupu na mkanganyik😵na kama leo haijulikani ni tarehe ngapi
 
Unaonekana ulimpa tabu sana Mwalimu wako kukufahamisha Darasani,

Kuna sehemu yeyote nimetaja dhambi? Mimi naongelea huo uliouita Ustaarabu,au umeamua kuhamisha magoli baada ya kukosa majibu na utetezi wa unachokiamini?
 
Acha kupotosha wapi mwezi umeonekana hapa TANZANIA? Kenya wao EID ni leo? Somalia, COMMORO nk acha unafiki. DINI YETU HAITAKI UNAFIKI.
FUNGENI AU FUNGULIENI KWA KUONA MWEZI.
Hii njia ya kuangalia mwezi kwa naked eyes ni primitive way.
 
watanzania hawaabudu waarabu hawaangalii mwezi wa mwarabu uarabuni wanaangalia mwezi unaoandama Tanzania sio uarabuni

Duh hii mpya kumbe kila taifa lina mwezi wake kweli shule ni MUHIMU KWENDA
 
teke-nolo-jia imeharibu umoja wa waislam, zamani mambo haya hayakuwepo
 
Yote KHERI.
ule leo ,ule kesho YOTE KHERI.
sioni sababu ya kugombana.
Wakati NI tofauti ya siku 1 TU.
tusiwe kama UTOPOLO
 

Omani leo ni Idy jana walitangaza kuonekana kwa mwezi halafu hiyo tafsiri yako ya kusema fungeni kwa kuuona mwezi ni mbovu wala haina mashiko
Tafsiri sahihi ni
FUNGENI KWA KUONEKANA MWEZI.

Ukirudi katka tafsiri yako yaani KIPOFU hatafunga maishani mwake wala mwenye matatizo ya kuona mbali hatafunga maishani mwake kwa sababu tafsiri yako itakua imemtoa katika funga
 
Acha kupotosha wapi mwezi umeonekana hapa TANZANIA? Kenya wao EID ni leo? Somalia, COMMORO nk acha unafiki. DINI YETU HAITAKI UNAFIKI.
FUNGENI AU FUNGULIENI KWA KUONA MWEZI.

Haa haa hayo umeyatoa wapi au nawewe unavamia? kwa hayo maneno yako unamaanisha
KIPOFU NA MWENYE MATATIZO YA KUONA HAWATAFUNGA MAISHANI MWAO?
Maana wao hawatauona mwzi kamwe
 
Tujifunze kwa tukio hili lililotokea mashariki ya kati dini ilipoanzia ili tofauti hizi za kijinga ziishe. Viongozi wa dini mnatuacha njia panda sisi waumini.

Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
 

Hizo zambi ulizotaja zote zilikuwepo toka zamani lakini hazikumkasirisha Mungu kufikia kiasi cha KUIPINDUA ARDHI JUU CHINI KAMA ALIVYO FANYA KWA MASHOGA WAKATI WA LUTI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…