papaayenga
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 764
- 504
Bora tunatumia Gregorian Calendar,tungekuwa tunatumia hii mifumo ya Shaban mara mwezi Ramadhan ingekuwa fujo tupu na mkanganyik😵na kama leo haijulikani ni tarehe ngapi
Leo ni mwezi 30 na Ramadhan mwisho ni 30. Una jingine la kuongea?Bora tunatumia Gregorian Calendar,tungekuwa tunatumia hii mifumo ya Shaban mara mwezi Ramadhan ingekuwa fujo tupu na mkanganyik😵na kama leo haijulikani ni tarehe ngapi
Zikikamilika 30 za kufunga siku inayofuata ni sikukuu bila kujali kuonekana mwezi. Sheria IPO hivyo.sasa kama ni kuuona, kesho wametangaza ndio sikukuu na bado haujaonekana.
mufti katumia kigezo kipi?
Mashallah 🙂Elimu ya kuandama kwa mwezi ni elimu kubwa sana,
mpaka leo duniani wanazuoni bado wanabishana kipi kipo sahihi, lakini Quran imesema hivi funga au fungueni swaum ramdhan kwa kuuona mwezi. Kama hawajauona basi Insha Allah wakiuona watafungua.
Hata nchi za Oman na Saudia Rabia, mwezi ukiandama Saudia watu wa Oman hawafungi wa hawafungui, na Oman pia hivyo hivyo.
Hii njia ya kuangalia mwezi kwa naked eyes ni primitive way.
Huu ni upekee mwingine wa Taifa letu katika kuendesha Mambo. Leo Waisalam Dunia nzima wanasherehekea kummalizika kwa Ramadan.
Lakini hapa Tanzania mwezi haukuandama hivyo Idd ni kesho.
Idd Mubaraka.
Sio lazima kila mtu auone mwezi,hiyo tafsiri haimaanishi hivyo,Omani leo ni Idy jana walitangaza kuonekana kwa mwezi halafu hiyo tafsiri yako ya kusema fungeni kwa kuuona mwezi ni mbovu wala haina mashiko
Tafsiri sahihi ni
FUNGENI KWA KUONEKANA MWEZI.
Ukirudi katka tafsiri yako yaani KIPOFU hatafunga maishani mwake wala mwenye matatizo ya kuona mbali hatafunga maishani mwake kwa sababu tafsiri yako itakua imemtoa katika funga
Kwani Pasaka ina adhimishwa tarehe zile zile kila mwaka?.Una habari kwamba Orthodox Christians huwa wanasherekea X-Mas tarehe 6 ama 7 Januari na sio 25 December. Usilolijua ni usiku wa giza.sherehe za kutegemea kasatelaiti kaitwacho mwezi ni kero.
Hawana dini haoata hapa china tunakula idi leo
Oman leo ni Eid ila wamefunga siku 29 wakati Saudia arabia na nchi zingine za gulf wamefunga siku 30 na hapo ndio kwenye point yangu,Omani leo ni Idy jana walitangaza kuonekana kwa mwezi halafu hiyo tafsiri yako ya kusema fungeni kwa kuuona mwezi ni mbovu wala haina mashiko
Tafsiri sahihi ni
FUNGENI KWA KUONEKANA MWEZI.
Ukirudi katka tafsiri yako yaani KIPOFU hatafunga maishani mwake wala mwenye matatizo ya kuona mbali hatafunga maishani mwake kwa sababu tafsiri yako itakua imemtoa katika funga
Mashallah [emoji846]
Na rai ya mufti wa Oman sheikh Ahmad al khalil [emoji1370]
Ibadhi Haki Kwa Dalili - KUTHIBITI KWA MWEZI WA RAMADHANI.
Kuthibiti kwa mwezi wa Ramadhan na kuanza kufunga Ramadhani kunategemewa kwa: *Kuona Mwezi: Na hii inakuwa kwa mtu kuuona mwezi kwa macho yake. Kasema Mwenyezi Mungu Mtukufu. katika Suratil Baqara aya ya 185, “ ﴿شَهرُ رَمَضَانَ الَّذِى أُنزِلَ فِيهِ القُرءَانُ هُدًى لِّلنَّاسِ وَبَيِّنَاتٍ مِّنَ...ibadhi.com
Mwezi wa waarabu ndio huohuo wa watanzania ndio huohuo wa wamarekaniwatanzania hawaabudu waarabu hawaangalii mwezi wa mwarabu uarabuni wanaangalia mwezi unaoandama Tanzania sio uarabuni
Sio lazima kila mtu auone mwezi,hiyo tafsiri haimaanishi hivyo,
Hivi unadhani kila mwezi unaotangazwa kua umeonekana ina maana watu wote wameuona? Sio hivyo,watu wachache wanaweza kuuona mwezi kisha wakaripoti kwa viongozi wa dini na taratibu zikafuatwa kama vile kuwaapisha kisha ikatangazwa kua Mwezi umeonekana.
Oman leo ni Eid ila wamefunga siku 29 wakati Saudia arabia na nchi zingine za gulf wamefunga siku 30 na hapo ndio kwenye point yangu,
Point yangu kwenye hiyo comment yangu ni kwamba, mwezi wa kuanza mfungo ndio wamepishana na sio mwezi wa kula Eid.
Mkuu hivi unajua hata kinachojadiliwa hapa?!Bro pointi yako haina mashiko hata kama umefunga siku kumi halafu mwezi ukaonekana sheria inasema fungua siku hiyo ni haramu kwako kufunga utakuja kuzilipa hizo siku za kukamilisha mwezi baadae. Nahao Omani wepata loop hole kwa kua miezi ya KIISLAM ina hesabika kwa masiku 29 mpaka 30
Kwani shehe Ponda leo anakula sikukuu?
Acheni uzushi na uzandiki. Nyie mmeuona huo mwezi
Tatizo ni TFF na bodi ya serikali inayohusu maswala ya sikukuu na mapumzikoHuu ni upekee mwingine wa Taifa letu katika kuendesha Mambo. Leo Waisalam Dunia nzima wanasherehekea kummalizika kwa Ramadan.
Lakini hapa Tanzania mwezi haukuandama hivyo Idd ni kesho.
Idd Mubaraka.
Karibu ndugu yangu katika Imaan tusherehekee Idd el Fitr.Sijui hata unaongea Nini...hivi Mwezi ukionekana Rwanda,Kenya na Uganda bila Shaka hata Tanzania unaonekana labda kuwe na mawingu au Ukungu!@ Don