City Of Lies
Platinum Member
- Sep 8, 2011
- 6,073
- 7,997
Nimekupata mkuu.Mkuu kwenye uislamu siku za kufunga Ramadhani ni 29 au 30 kutegemea na muandamo wa mwezi,sasa kama leo wanafunga Ramadhani siku ya 30 ina maana kesho automatic ni Eid coz hakuna Ramadhani ya kufunga siku 31
Hakuna ulikoonekana soma taarifa yao utaelewa.Unafiki gani mkuu....Uganda,Kenya ,Rwanda mwezi umeandama lakini kwetu bado...!
Mwezi haujaonekana UGANDA bali wao wamefata mwandamo wa kimataifa (Saudi Arabia)Sijui hata unaongea Nini...hivi Mwezi ukionekana Rwanda,Kenya na Uganda bila Shaka hata Tanzania unaonekana labda kuwe na mawingu au Ukungu!@ Don
Huu ni upekee mwingine wa Taifa letu katika kuendesha Mambo. Leo Waisalam Dunia nzima wanasherehekea kummalizika kwa Ramadan.
Lakini hapa Tanzania mwezi haukuandama hivyo Idd ni kesho.
Idd Mubaraka.
Sio ya ajabu ina misingi imara sana.Din yenu ya ajabu sana...
Usipoonekana sheria iko wazi kuwa kufunga ni siku 29 au 30 tu hivyo kama zimefika siku 30 na mwezi hujauona basi unafungulia na lazima ujue kuwa hutouona kwa kutokana na hali mbaya ya hewa lkn ndani ya siku 30 mwezi lazima uonekane.je usipo onekana itakuwaje
Usipoonekana sheria iko wazi kuwa kufunga ni siku 29 au 30 tu hivyo kama zimefika siku 30 na mwezi hujauona basi unafungulia na lazima ujue kuwa hutouona kwa kutokana na hali mbaya ya hewa lkn ndani ya siku 30 mwezi lazima uonekane.je usipo onekana itakuwaje
Labda kauona huo.....Weka Picha.
Jana ulizuiwa na nini na iweje mikoa yote usionekane?Kama nauona vile jioni leo ukiwa umekomaa kabisa unaonekana wa siku 2 hivi....tusubiriii
Bakwata ndo wanazuia mwezi usionekane?Bakwata wamefuata nyayo za TFF...
Wamepokea maagizo kutoka serikalini...
Hata huku mbagala chamazi, mwezi umeonekana, karibuni biriani...Weka Picha.
Dini yenu haitaki unafki kwani nyie ni nani haswa msiwe Wanafki?Acha kupotosha wapi mwezi umeonekana hapa TANZANIA? Kenya wao EID ni leo? Somalia, COMMORO nk acha unafiki. DINI YETU HAITAKI UNAFIKI.
FUNGENI AU FUNGULIENI KWA KUONA MWEZI.
UsilaImishe watu wa amini unavotaka sio ulimwenguni wengine tuna amini maeneo yanayo karibianaKwa maneno yako hayo ndio Mtume s.a.w akasema
FUNGENI KWA K U O N E K A N A kwa Mwezi
Hii inamaanisha mtu yeyote atakae uona mwezi sehemu yeyote ulimwenguni atakua amewakilisha wale ambao hawa kuona
na unaposema FUNGENI KWA K U O N A mwezi umempa mfungaji SHURTI ILI AFUNGE LAZIMA AWE AMEUONA MWEZI.
Tulia kidogo punguza munkari tuliza akili angalia tofauti ya KUUONA na KUONEKANA utaona tofauti yake
Wameuzuiaje mwezi vijiji vyote nchini na vipi kwa majirani nako?Tatizo ni TFF na bodi ya serikali inayohusu maswala ya sikukuu na mapumziko
Watu BORA kabisa hapa DUNIANI.Dini yenu haitaki unafki kwani nyie ni nani haswa msiwe Wanafki?
UsilaImishe watu wa amini unavotaka sio ulimwenguni wengine tuna amini maeneo yanayo karibiana
Yani nchi karibu 5 zinazo kuzunguka zisiuone mwezi kunahajagani ya kulazimisha na kumbe mwezi upo tu?