Dah....mkuu tatizo liko wapi? ,[emoji2960]Huu ni upekee mwingine wa Taifa letu katika kuendesha Mambo. Leo Waisalam Dunia nzima wanasherehekea kummalizika kwa Ramadan.
Lakini hapa Tanzania mwezi haukuandama hivyo Idd ni kesho.
Idd Mubaraka.
Mkuu ningependa kujua Kutokana na source yako mwezi umeandama wapi?mufti akasema haujaandama hata comoro.
Sasa mufti kusema haujaandama comoro kwani sisi tunaabudu wacomoro mpaka mufti aseme comoro kama reference ?
Kwa hiyo wanao amini tofauti mtakavyo nyie hawajasoma?Nakuomba uosome Uislam uislam huwa hauna mipaka ya kijiografia uislam ni wa kiulimwengu hivyo ndivyo alivyo uacha mtume wetu Mohammad s.a.w
Halafu haina haja ya kuingia ktk malumbano ya kielimu kama huna elimu ya dini
Wamewekeza kwenye sayansi lakini bado wana Chrismas mbili.Hujui kwamba Orthodox Christians wanasherekea X-MAS tarehe 6 au 7 Januari?Hata Wakristo Sherehe ya Pasaka huwa inategemea Mwezi japo wao wamewekeza kwenye sayansi wanajua exactly siku utaandama.
Usifike kwenye ulimwengu huko mbali.Mtume alisema Dunia itakua kiganjani alijisahau vipi kusema tutafunga kwa mwezi mmoja ulimwengu wote?
Punguza jazba,unaswahaba mtanzania wewe?kuna aya imekutamka mtanzania? Allah aliwapa waarabu mtume.wewe mtanzania anaye? Jadili jambo kwa uelewawatanzania hawaabudu waarabu hawaangalii mwezi wa mwarabu uarabuni wanaangalia mwezi unaoandama Tanzania sio uarabuni
Suudia au zaidi Arabia tumepishana nao masaa mangapi?Kwa hiyo wanao amini tofauti mtakavyo nyie hawajasoma?
Nyie ndo vizazi vya ibilisi mnajifanya waislama ili muwatoe kwenye dini mdogomdogo.
Huo mwezi wakukosa kuchomoza nchi jirani zinazo kuzunguka kuna haja gani kuulazimisha?
Mtume alisema Dunia itakua kiganjani alijisahau vipi kusema tutafunga kwa mwezi mmoja ulimwengu wote?
InasikitishaAjabu, Tanzania mwezi wetu haujaonekana.
Lkn hata mwezi wa kuandama 30 unakuwa umekomaa kdg tofauti na ule wa 29.Kama nauona vile jioni leo ukiwa umekomaa kabisa unaonekana wa siku 2 hivi....tusubiriii
Astafugjlalai πππ
Tatizo liko wapi?Kama nauona vile jioni leo ukiwa umekomaa kabisa unaonekana wa siku 2 hivi....tusubiriii
Madhali hatuombani chuvi hao si wenzetu.Suudia au zaidi Arabia tumepishana nao masaa mangapi?
Nakuheshimu ila kwa hili nakupuuzaUsifike kwenye ulimwengu huko mbali.
Mtume alijisahau vipi kusema tufunge kwa mwezi mmoja Nchi nzima ?
Unadhani mtume isema tufunge kwa mwezi mmoja Nchi nzima ?
kama hakusema kwa nini leo mufti anaweza kutangaza tufungue kwa mwezi wa kigoma ilhali yeye yupo dar kisa tu ni nchi moja ?
Kama alisema unaweza kunionesha waoi alisema hayo maneno?
Asante.
Mkuu nilishazoea kupuuzwa hasa na watu ambao hawajibu hoja wanaishia hapo.Nakuheshimu ila kwa hili nakupuuza
Mkuu na mimi nauliza tuMtume alisahau kutuambia tutafunga mwenzi mmoja ulimwengu wote na ametuambia Dunia itakua kiganjani?