Leo ni kumbukumbu ya kifo cha Nyerere au Magufuli?

Ndugu zangu kwa nini tunapenda fikra hasi ktk kila jambo? Kumbukizi ya Mwalimu imefanyika Chato, ambako kuna kaburi la Dk. Magufuli.

Kosa nini hapo kwa Rais na viongozi wengine kupita ktk kaburi na kuweka shada la maua na kumuombea dua aliyekuwa kiongozi wetu?
 
Mnamuonea wivu hadi marehemu?!
Nilikuwa karibu na mtoto leo alivosikia na kuona hayo mashada akahoj mbona ni Nyerere Day. Kwani hili si swali muhimu? Kwa nini mjibu kwa jeuri.
Wengine akili finyu, mtoto akiuliza kwa nini waafrika ni weusi na wazungu ni weupe mnajibu kirahisi tu ni laana... Simply unaweza tu useme tuyaache yalivyo.. utakuwa na busara zaidi!

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
CCM wamepoteza muelekeo. Mambo ni Vururu vururu 😂😂😂😂
 
Ameshajiandikia historia ya udikiteita, yote mnajisumbua kumtukuza wakati watu, dunia inajua Jiwe alikuwa nani

Kwanza kwa Mungu ajibu hawa wako wapi?
 
CCM wamepoteza mwelekeoMambo ni Vururu vururu 😂😂😂😂
aibu sana nchi kuendeshwa na wahuni wa namna hii.
 
Akili zako hazina akili.
 
Mbadala?au umekosea kuandika
 
Hiii
 
Wewe ndiye unayeutengeneza huo u hasi.sidhani kama binadamu tunapaswa kufikiri kwakufanana.na mtu kauliza swali kuna shida gani ukimjibu kulingana na swali lake badala yakuanza kufikiria hayo yahu hasi kwenye kila kitu.
 
Haya ni maono yako, hisia ,zako au mihemko yako?
Tumia akili kuchanganua mambo na sio hisia hasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…