Acheni kujizungusha Nyerere day ni Nyerere day na Magufuli day ni Magufuli day, kusema eti wamekwenda Chato kwa kuwa Magufuli alimuenzi Nyerere ni kutufanya wote wajinga.Umeshangazwa na Nini!?,mwal.anasheshma zake zote kwa kila mtz na tumekuwa tukimuenz kila kukicha Hadi leo,jpm alikuwa mbadala wa mwal. hivyo ni sawa pia katka kumbukiz za mwal.kumkumbuka pia jpm.hii ni meseji kwa mwal. ya kuwa baada ya wewe mwal. alitokea kijana wako ambae alitembea kwenye maono yako ya miaka mingi,bahati mbaya hatunae ,Ila ametufikisha mahali fulani pa kuanzia na kuendeleza.