Halaiser
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 4,230
- 6,653
Hawa watu wamechanganyikiwa. Nafikiri kuna siri kubwa(password) kafa nayo bila kuwaachia sasa wanahaha Kila Kona. Kuna Sanduku la shaba liko pale jengo jeupe wakuu wameshindwa kulifungua. Password yake aliyekuwa anafahamu ni Jiwe pekee.[emoji2960][emoji2960]Hili taifa halina uongozi kabisa
Sijui hata vyombo vya ulinzi na usalama wa taifa vinafanya Nini !!
Hizi aibu Nani anabeba?