Leo ni kumbukumbu ya Siku ya Kuzaliwa kwa Ben Saanane, unakumbuka nini kutoka kwake?

CDM mnajua kuunda drama - ipo siku mtaonesha mliyomfanyia Ben. Nahisi yuko mikononi mwa CDM
Hivi Serikali ingekubali kuchafuka ilivyo na mkono mrefu kama wasemavyo waswahilii!!!

Muda mwingine tusitetee ujinga
 
CDM mnajua kuunda drama - ipo siku mtaonesha mliyomfanyia Ben. Nahisi yuko mikononi mwa CDM
Kwanini mlitoa Camera pale Tundu lissu alipopigwa risasi?

Kwanini mlitoa walinzi kwenye makazi ya naibu spika kuficha ufedhuli wenu?

Kwanini polisi hawafanyi uchunguzi wa matukio ya mauaji ya Alphonce Mawazo, jaribio la kumiuua Tundu Lissu na Ben Saanane?

Polisi nchi hii kazi yao ni ulinzi wa raia au ulinzi wa majizi na wauaji wa CCM?
 
Dogo alikua hajielewi.
Hii nchi ina mamlaka na lazima tuheshimu mamlaka hata kinafiki.
This is Africa
 
RIP Ben Saanane.

Hii ndio ilisababisha matatizo yote.

“The Potential
of Anacardic Acid Self – Assembled Monolayer from Cashew Nut Shell Liquid as Corrosion Protection Coating”,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…