Leo ni kumbukumbu ya Siku ya Kuzaliwa kwa Ben Saanane, unakumbuka nini kutoka kwake?

Taarifa ya polisi inasemaje mpaka sasa??
Polisi hawa hawa wanaosaidia CCM kuiba kura?

Mumuulize Tumainiel atuambie Ben alimpeleka wapi.

Naye kawekwa nje ya mfumo kabaki kuwa kama kichaa na tabiri uchwara.
 
Kinachonishangaza kushinda vyote ni kuona namna familia yake ilivyokaa kimya utafikiri wenyewe wanafahamu alipo.

Kingine ni kwamba kila siku nasema hakuna serikali mbaya na ya hovyo kama serikali yoyote inayoongozwa na chama cha ccm, ona na yenyewe ilivyokaa kimya jambo linaloonyesha wazi kwamba kama amekufa basi ni serikali ndio iliyomuua.

But there is a day the truth will come out no matter how long it takes and if he is dead then the perpetrators of his death will eventually be brought to justice.
 
Back
Top Bottom