Leo ni leo asemaye kesho muongo. Polepole kuongea na Watanzania saa mbili kamili usiku! Usikose!

Leo ni leo asemaye kesho muongo. Polepole kuongea na Watanzania saa mbili kamili usiku! Usikose!

Umeuliza swali fupi lakin ni la msingi mno.
Kwa sasa hakuna maneno wala propaganda ya kuitoa relini CCM.
Hakuna ubaya mpya wa CCM.
Kauli pekee inayoweza kuitwa ya tofauti ni yule atakayekuja na ultimatum ya kutumia nguvu.
mf. Wanasiasa wa Burundi walioko uhamishoni waliapa juzi kati kurudi msitun baada ya mdororo wa kisiasa nchini mwao.
(Hapo unajua men are talking).
HP IS BORING!

Hii ndio lugha pekee yakuzungumza.
Yaani tunakaa tunamsubiri mtu anayetishia eti nitaongea jambo baya, hivi Kuna jambo unaloweza kuzungumza dhidi ya CCM likawa jipya? na kuitingisha CCM..

Anachosahau HP, kulikuwa na EL aliyekuwa anayajua mengi kuliko yeye na bado CCM haikutingishika matokeo yake EL Mwenyezi Mungu kamchukua kaicha CCM.

ndani ya mitaa ya Benghazi Libya.
 
Back
Top Bottom