Leo ni leo asemaye kesho muongo. Polepole kuongea na Watanzania saa mbili kamili usiku! Usikose!

Leo ni leo asemaye kesho muongo. Polepole kuongea na Watanzania saa mbili kamili usiku! Usikose!

Sijawahi kuwa na fake ID in my life,na siku zote mimi ni mkweli daima,kama its only the truths ndio itaokoa taifa,tell the truth,and the truth will set you free hata kama ni kwa ku pay the price kuonekana an enemy of the people!,naamini one day watamshukuru,by that time the nation will have been saved!
P
Pasco wa JF.
===
Ukweli hatujali rangi ya paka, kikubwa akamate panya. Hili ndilo la msingi; kwa hiyo, tujikite kwenye kumuwezesha paka bila kujali rangi yake afanye kazi tunayotaka. Lakini, paka kama atatumia kigezo cha kukamata panya ili apate mwanya wa kula vifaranga vya kuku wetu, ajue hataacha kuziona rangi zote zilizopo dunia kwa kitakachompata. Si mtishi paka hata kidogo, ha ha ha haaa!
 
Siku ya leo, tarehe 21,leo ndio siku ya siku, imebatizwa jina la ”The Twenty First to remember!”, yaani ni ”Ishirini na moja ya kukumbukwa!”。

Saa mbili kamili usiku,yule Mwamba Humphey Polepole anapanda live kupitia mitandao ya kijamii kushusha live nondo za kufa mtu
Mi naingia ulingoni kuanzia saa 12 jioni, ili nipate kiti cha mbele hapa kijijini katika banda la kuonyeshea mipira. Lakini Leo watamuonyesha Polepole akilonga.
Kwa bahati kachagua siku na muda mzuri, Hakuna mpira - CHAN 2025.
 
surely?
Polepole ni mwamba?
mwamba unaojieleza kwa hofu tena ukiwa mafichoni?

si afadhali hata mpina na malisa undio wanaweza kua wamba MWALIMU paskali 🐒
Mkuu Tila Tlaatlaah ,kwanza niendelee kukupongeza kwa michango yako very objective,pia niendelee kukuheshimu kuniita mwalimu!,thanks,asante!

Pili Polepole ni Mwamba wa ukweli!, kitendo tuu cha kuachia ubalozi, kuacha mshahara wake mnono wa Balozi, kuacha marupurupu ya ubalozini, kuacha hadhi ya ubalozi, mtu anayeweza kufanya haya ni Mwamba!.

Kwa vile kuna watu wanapotezwa kiukweli ukweli, ni haki yake kuwa mwangalifu asije potezwa!.

tujifunze kuukubali ukweli bayana na kuwakubali wakweli ndio wataliokoa taifa hili na kulisaidia,na sio machawa!。Machawa kazi yao ni kufurahisha na sio kusaidia,wakweli kazi yao ni kusaidia na sio kufurahisha,hivyo sometimes ukweli unakuwa ni mchungu sana kumeza,hivyo watu hawapendi kuambiwa ukweli.

Kwa vile ile kazi ni so stressful, Dada anapenda kufurahishwa na machawa, ni haki yake kuwapenda machawa wampunguzie stress, lakini sisi wa kumsaidia kwa kumwambia ukweli, tutamwambia tuu, ili kimsaidia hata kama hapendi kuambiwa ukweli, japo machawa wanamfurahisha to reduce stress, ni sisi wakweli ndio tutamsaidia kusonga mbele na kutusua!.
P
 
Bahati mbaya anaodeal nao Wana department zote zakuendesha mambo yao.

Ndio yule dogo wamempumzisha ili apate muda wa kudeal na ground floor na vita kama hizi, ameshakabidhiwa hicho kitengo mpaka bahari itulie..
Mwakani hapo anarudishwa kwenye game.

ndani ya mitaa ya Benghazi Libya.
January Makamba?
 
Kimsingi yupo n vita na wanamtandao. Serikali ingrkaa pembeni tu kuwaacha wauane hawa.

Rostam ameshakula za chembe za kutosha. Ila bado anapumua. Ike ya jana hawezi kuja kujibu.

mwigulu Nchemba uje utupe majibj kodi yetu uliisamehe?
Hao wana mtandao ni Majambazi, mafisadi wa rasilimali za nchi yetu
Hawastahili kuitwa wahuni, ni zaidi ya wahuni ni mafisadi papa
 
Mkuu Tola Tlaatlaah ,kwanza niendelee kukupongeza kwa michango yako very objective,pia niendelee kukuheshimu kuniita mwalimu!,thanks,asante!

Pili Polepole ni Mwamba wa ukweli!, kitendo tuu cha kuachia ubalozi, kuacha mshahara wake mnono wa Balozi, kuacha marupurupu ya ubalozini, kuacha hadhi ya ubalozi, mtu anayeweza kufanya haya ni Mwamba!.

Kwa vile kuna watu wanapotezwa kiukweli ukweli, ni haki yake kuwa mwangalifu asije potezwa!.

tujifunze kuukubali ukweli bayana na kuwakubali wakweli ndio wataliokoa taifa hili na kulisaidia,na sio machawa!。Machawa kazi yao ni kufurahisha na sio kusaidia,wakweli kazi yao ni kusaidia na sio kufurahisha,hivyo sometimes ukweli unakuwa ni mchungu sana kumeza,hivyo watu hawapendi kuambiwa ukweli.

Kwa vile ile kazi ni so stressful, Dada anapenda kufurahishwa na machawa
Mwalimu Pascal Mayalla nakushukuru sana kwa recognition,
lakini pia nakubaliana na wewe kwa mambo mengi sana, lakini unisamehe kwenye hili, nakubalina na wewe kwa kiasi tu, kumuhusu huyo muungwana Polepole,

huenda imani na mafundisho yangu ya kidini niliyoyapata mapema, yameniathiri na kunifanya kuamini tofauti na unavyomuelezea huyo mpambanaji wa mageuzi mwoga, asie na ufuasi mkubwa kivitendo kisiasa, bali kinadharia zaidi.

kwenye mafundisho ya kiimani ambayo nilifundishwa na niliyashika kikamilifu bila mzaha, na kuyaamini kwa imani ya kiwangio cha juu sana, ni pamoja na yale yanayowahusu wafia dini ya kikristo pale Uganda, maarufu kama "Mashahidi wa Uganda". katika mafundisho yale, nilielezwa kwamba wafia dini mashahidi wa Uganda wanaotambuliwa na kuthibitishwa na kanisa ninaloabudu mimi wako 22, ingawa ukweli ni kwamba wapo zaidi ya hao 22, ambo wao hawatambuliki kama wafia dini kwasababu wao walikimbia vitisho vya mfalme Kabaka wa Baganda Mwanga na hivyo kuonekana kwamba hawakua wamba wa Imani thabiti ya Yesu Kristo bali wanafiki tu.

Kwasababu wao walikimbia mapambano kama huyo polepole, na walirejea Uganda na kufa huko baada ya wenzao waliobaki huko kufanikiwa kuleta mageuzi na kulinda imani yao wakiwa ndani ya vitisho na mazingira ya hatari zaidi kwa manufaa ya waUganda wote.

Na ndio maana nakataa kwamba polepole na wengine wanaofanana nae na waliowahi kukimbia mapambano na kujificha mahali pasipojulikana na kuwatelekeza wenzao wakipambana kwenye mazingira hayohayo magumu, hatari na ya vitisho. Hoa ndio pekee wanastahili kuitwa wamba kwa maoni na imani yangu.

Otherwise,
I thank you for everything na tupo pamoja sana,
and by God grace I hope to meet you one day :NoGodNo:
 
We mhaya ambaye huogopi vitisho weka jina lako kamili!
For your information mimi naweza hata kumzaa baba yako ungejua umri wangu!.............
Siku ukitoka na taulo chumbani kwa mama yake ndo atakujua wewe ni nani.
 
Mwalimu Pascal Mayalla nakushukuru sana kwa recognition,
lakini pia nakubaliana na wewe kwa mambo mengi sana, lakini unisamehe kwenye hili, nakubalina na wewe kwa kiasi tu, kumuhusu huyo muungwana Polepole,

huenda imani na mafundisho yangu ya kidini niliyoyapata mapema, yameniathiri na kunifanya kuamini tofauti na unavyomuelezea huyo mpambanaji wa mageuzi mwoga, asie na ufuasi mkubwa kivitendo kisiasa, bali kinadharia zaidi.

Na ndio maana nakataa kwamba polepole na wengine wanaofanana nae na waliowahi kukimbia mapambano na kujificha mahali pasipojulikana na kuwatelekeza wenzao wakipambana kwenye mazingira hayohayo magumu, hatari na ya vitisho. Hoa ndio pekee wanastahili kuitwa wamba kwa maoni na imani yangu.

Otherwise,
I thank you for everything na tupo pamoja sana,
and by God grace I hope to meet you one day :NoGodNo:
Kwanza naheshimu msimamo wako, na kwenye mijadala, kutofautiana ni healthy!.

Kuna kitu kumhusu Polepole, yeye hakisemi ili asitoe nje siri za ndani za chama, za nchi na za serikali, kwasababu ngazi yake ni ngazi ya uandamizi, hivyo ana kiapo cha usiri ambacho hawezi kukikiuka!.

Usichojua na asichosema, alifanya juhudi kubwa kutaka mabadiliko kwa ndani, akashindwa ndio maana akajitoa kwenye serikali, na leo anakwenda kujitoa kwenye chama, atageuka mwiba mchungu!.

Mtakatifu Karoli Lwanga na mashahidi wenzake 22 wa Uganda, waliviringwa kwenye majani makavu ya migomba na kuchomwa moto na Kabaka Mwanga, huku wakivingika!, ni vifo vya mateso makubwa!, ila pia Kanisa Katoliki limewafanyia ukatili mkubwa sana watu wa Wicca!.

Wakoloni Wajerumani walikuwa ni Wakatoliki, mambo waliowafanyia mababu zetu, hayaelezeki!.

Polepole kwa vile ni an inside man anajua all the games people plays, akijitoa CCM, atakiumiza sana chama, ila ataisaidia sana nchi, ili litimie lile neno upinzani wa kweli utatoka CCM!, mfano alichofanya Mpina, Gambo akiamua kukomaa, Konda Boy, analambishwa vumbi!. Ole Sendeka akikomaa, CCM wanatema bungo Simanjiro!,
Ikitokea leo Polepole akajitoa CCM, na kujiunga popote kwa kampeni ya kataa wahuni!, CCM itaumizwa sana!.

Mimi ni kada, tutaonana tuu kipindi cha kampeni. Mimi ndie niliyependekeza Pre GE2025 - Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye! na wakati wa kampeni ni mabandiko ya kata mti panda mti Pre GE2025 - Samia mitano tena sio kwasababu ni Mwanamke! Ni kielelezo cha Uwezo wa Mwanamke katika Uongozi
P
 
Taarifa kutoka ukurasa wa Polepole wa instragram amesema leo atazungumza na Umma kupitia mitandao ya kijamii ikiwemo Facebook Tiktok

================
Mwaka huu hakuna uchaguzi, ni CCM VS CCM, CCM na ACT Wazalendo ni kitu kimoja


photo_2025-08-21_17-13-52.jpg
 
Back
Top Bottom