Leo ni leo asemaye kesho muongo. Polepole kuongea na Watanzania saa mbili kamili usiku! Usikose!

Hakika Wakati wa Mungu ni wakati sahihi

HATIMAYE Watanzania Kila Mahali wamechoshwa na Wahuni, ni kama Serikali ya Kikwete ilivyochokwa mwaka 2010-2015.

Nimepitia Online TVs Kadhaa ambazo ziko Live zikingoja Mh Polepole The Intelligent Aanze Press yake, Kuna maelfu ya Watanzania wake Kwa waume wanaendelea kutoa ya Moyon huku wakimsubiri Mzalendo !!.

Unaweza sema hivi, Maelfu ya watu walioko Live muda huu kwenye Media wakimsubiri Mh Polepole, ni Mara ya mia ya watu kwenye Hotuba yoyote ambayo Samia Huwa anazungumza.

Kataawahuni
Tanzaniakwanza
Kusubiri kumsikia mtu asiye na familia wala malengo na anaishi kama digidigi nao ni Ugonjwa wa akili. Mirembe inawahusu
 
2 minutes to
1755800883544.jpeg
 
Hakika Wakati wa Mungu ni wakati sahihi

HATIMAYE Watanzania Kila Mahali wamechoshwa na Wahuni, ni kama Serikali ya Kikwete ilivyochokwa mwaka 2010-2015.

Nimepitia Online TVs Kadhaa ambazo ziko Live zikingoja Mh Polepole The Intelligent Aanze Press yake, Kuna maelfu ya Watanzania wake Kwa waume wanaendelea kutoa ya Moyon huku wakimsubiri Mzalendo !!.

Unaweza sema hivi, Maelfu ya watu walioko Live muda huu kwenye Media wakimsubiri Mh Polepole, ni Mara ya mia ya watu kwenye Hotuba yoyote ambayo Samia Huwa anazungumza.

Kataawahuni
Tanzaniakwanza
Mkimsikia au kumuona tena,njooni mnichome moto
 
Lukas Mwashambwa na Tlaahtlaah wamo pia?!
 
binafsi nilikua nimemuwekea deadline hii ndo ilikua speech yake ya mwisho ikiwa nyepesi sitomtilia maanani tena --- ila mpaka sasanaona kaingia mitini
Kuna kitu kimetokea na Mimi nilihisi hivi itatokea baada kujiuliza kwanini mzima switch Leo hajazima mitambo unaweza kulalamikia kumbe Kuna Jambo kafanyiwa sisi hatujui na Polepole kafeli kitu kimoja kusema ataweka kila kitu hadharani asingetoa vitisho hao wapuuzi wasingejipanga
 
Back
Top Bottom