Leo ni leo asemaye kesho muongo. Polepole kuongea na Watanzania saa mbili kamili usiku! Usikose!

Jamani niko huku kwasemangube korogwe namsubiri polepole huu moto ni noma imajini kwasemangube Hilo jina tu linatisha ila tumeweka bando Kwa ajili ya pole pole.
 
Stay Tuned /mkae mkao wa kutulia jioni ya leo shughuli zote zihairishwe hadi tarehe 22 Agosti 2025.

Kuna jambo muhimu la kitaifa linakuja usisubiri kusimuliwa au kuambiwa na mkuu wa propaganda wa serikali ya chama kongwe dola mtu wa stori profesa Palamagamba Kabudi

TOKA MAKTABA :

STORI ZA PROF. P. KABUDI

1755802286559.jpeg
 
Red flag! Lets wait and see.. hakunaga accuracy ya kujificha 100%>> kwenye maswala ya Cyber Warfare. Hadi asubuhi mkiona kimya mjue tayari
Mtu ajifichaye mafichoni asiyejulikana aliko na kupotea hupotea kimya kimya hivyo hivyo bila watu kujua alipotelea wapi na niji kilimkuta huko mafichoni kwani hakuna mtu ajuaye wapi yupo .Ndani ya nchi au nje

Akizimika anazimika kimyakimya huko huko.mafichoni kusikojulikana bila kujulikana yupo au hayupo kuna kilichompata au la

Inabaki siri isiyojulikana
 
Hakika Wakati wa Mungu ni wakati sahihi

HATIMAYE Watanzania Kila Mahali wamechoshwa na Wahuni, ni kama Serikali ya Kikwete ilivyochokwa mwaka 2010-2015.

Nimepitia Online TVs Kadhaa ambazo ziko Live zikingoja Mh Polepole The Intelligent Aanze Press yake, Kuna maelfu ya Watanzania wake Kwa waume wanaendelea kutoa ya Moyon huku wakimsubiri Mzalendo !!.

Unaweza sema hivi, Maelfu ya watu walioko Live muda huu kwenye Media wakimsubiri Mh Polepole, ni Mara ya mia ya watu kwenye Hotuba yoyote ambayo Samia Huwa anazungumza.

Kataawahuni
Tanzaniakwanza
Wameamua kuingilia kati
IMG-20250821-WA0068.jpg
 
Siyo kawaida,itakuwa jamaa washakula kichwa!!
 
Mtu ajifichaye mafichoni asiyejulikana aliko na kupotea hupotea kimya kimya hivyo hivyo bila watu kujua alipotelea wapi na niji kilimkuta huko mafichoni kwani hakuna mtu ajuaye wapi yupo .Ndani ya nchi au nje

Akizimika anazimika kimyakimya huko huko.mafichoni kusikojulikana bila kujulikana yupo au hayupo kuna kilichompata au la

Inabaki siri isiyojulikana
Hatujui lililompata,tunasubiri tuu
 
Hakika Wakati wa Mungu ni wakati sahihi

HATIMAYE Watanzania Kila Mahali wamechoshwa na Wahuni, ni kama Serikali ya Kikwete ilivyochokwa mwaka 2010-2015.

Nimepitia Online TVs Kadhaa ambazo ziko Live zikingoja Mh Polepole The Intelligent Aanze Press yake, Kuna maelfu ya Watanzania wake Kwa waume wanaendelea kutoa ya Moyon huku wakimsubiri Mzalendo !!.

Unaweza sema hivi, Maelfu ya watu walioko Live muda huu kwenye Media wakimsubiri Mh Polepole, ni Mara ya mia ya watu kwenye Hotuba yoyote ambayo Samia Huwa anazungumza.

Kataawahuni
Tanzaniakwanza
Sahihi kabisa
 
Mtu ajifichaye mafichoni asiyejulikana aliko na kupotea hupotea kimya kimya hivyo hivyo bila watu kujua alipotelea wapi na niji kilimkuta huko mafichoni kwani hakuna mtu ajuaye wapi yupo .Ndani ya nchi au nje

Akizimika anazimika kimyakimya huko huko.mafichoni kusikojulikana bila kujulikana yupo au hayupo kuna kilichompata au la

Inabaki siri isiyojulikana
Sure, akipotea kimya kimya, maana yake ndio kapotea mazima ukimyanwake tutajiongeza
 
Hakika Wakati wa Mungu ni wakati sahihi

HATIMAYE Watanzania Kila Mahali wamechoshwa na Wahuni, ni kama Serikali ya Kikwete ilivyochokwa mwaka 2010-2015.

Nimepitia Online TVs Kadhaa ambazo ziko Live zikingoja Mh Polepole The Intelligent Aanze Press yake, Kuna maelfu ya Watanzania wake Kwa waume wanaendelea kutoa ya Moyon huku wakimsubiri Mzalendo !!.

Unaweza sema hivi, Maelfu ya watu walioko Live muda huu kwenye Media wakimsubiri Mh Polepole, ni Mara ya mia ya watu kwenye Hotuba yoyote ambayo Samia Huwa anazungumza.

Kataawahuni
Tanzaniakwanza
Kumbe nimewahi....nilijua kashamaliza
 
Siyo kawaida,itakuwa jamaa washakula kichwa!!
Hakuna ajuaye sababu Polepole yuko sirini kusikojulikana atakakuwa labda kakimbia nchi kaenda uhamishoni kutafuta ukimbizi na anataka iwe siri au kaamua kunyamaza mwenyewe huko kusikojulikana aliko

Au anaumwa
 
Hii sio kawaida Kuna kitu kafanyiwa ndio maana umeona Leo mzima switch hajazima mitambo kwa akili tu ya kawaida jiulize kwanini Leo hajazima?
Kipindi kile anafanya kile kipindi anafanya shule ya uongozi wahuni walivamia geto lake wakamkosa....tena walienda na KY Jelly aisee....
 
Back
Top Bottom