Kama wamewakamata ndugu zake au mama yake mzazi nakumtushia kuwa akiongea wanauliwa ukiwa ndio wewe unafanyaje50/50 mimi nasubiri press yake tu, kama wamekamata au wamemtisha ndo itakua kithibitisho changu kwamba yeye ni tapeli
Kama wamewakamata ndugu zake au mama yake mzazi nakumtushia kuwa akiongea wanauliwa ukiwa ndio wewe unafanyaje50/50 mimi nasubiri press yake tu, kama wamekamata au wamemtisha ndo itakua kithibitisho changu kwamba yeye ni tapeli
Sidhani kama ana hayo mamlaka🤣🤣🤣🤣Anaweza kutuchenjia ghafla?!
Heshima ni muhimu kuzidi ubaloziEven crazy ana haki ya kusikilizwa..... Pole pole ana matatizo ya akili, unapewa nafasi ya kuwa ambassador una resign ili upate kiki? Wenzie watoto wetu tunaomba Mungu kila siku wapate nafasi kama hizo...ke nge kweli huyo
🤣🤣🤣 HakikaSidhani kama ana hayo mamlaka🤣🤣🤣


Jamani niko huku kwasemangube korogwe namsubiri polepole huu moto ni noma imajini kwasemangube Hilo jina tu linatisha ila tumeweka bando Kwa ajili ya pole pole.
Kwenye ile press yake ya kwanza kabisa alisema wafanye wanavyotaka, lakini hawezi kuyumba msimamo wake.Kama wamewakamata ndugu zake au mama yake mzazi nakumtushia kuwa akiongea wanauliwa ukiwa ndio wewe unafanyaje
mimi niweke pembeni mkuu, hapa tunamjadili polepole kashatusikilizisha sana press zake mkuu.Kama wamewakamata ndugu zake au mama yake mzazi nakumtushia kuwa akiongea wanauliwa ukiwa ndio wewe unafanyaje
heshima ipi mkuu anauacha ubalozi muda mahususi kabisa wa kuanza mchakato wa uchaguzi?Heshima ni muhimu kuzidi ubalozi
Usingekuwa unaweza kuchat humu bila VPNKwani kuzimwa switch lazima kuwe kiza tololo?
Wameamua kuingilia katiView attachment 3448401
Leo utafika kileleni ndo anamalizia kula kongoro ndo ajeShida Yake Hatufikishagi Kileleni,
Anatoa Siri Nusunusu.
Ndo hivyo Ame gain heshima kubwa pole poleheshima ipi mkuu anauacha ubalozi muda mahususi kabisa wa kuanza mchakato wa uchaguzi?
Mungu hakupi vyote. Nyie mmepewa kushabikia umbeya lkn sio madaraka ya nchi hii.Hakika Wakati wa Mungu ni wakati sahihi
HATIMAYE Watanzania Kila Mahali wamechoshwa na Wahuni, ni kama Serikali ya Kikwete ilivyochokwa mwaka 2010-2015.
Nimepitia Online TVs Kadhaa ambazo ziko Live zikingoja Mh Polepole The Intelligent Aanze Press yake, Kuna maelfu ya Watanzania wake Kwa waume wanaendelea kutoa ya Moyon huku wakimsubiri Mzalendo !!.
Unaweza sema hivi, Maelfu ya watu walioko Live muda huu kwenye Media wakimsubiri Mh Polepole, ni Mara ya mia ya watu kwenye Hotuba yoyote ambayo Samia Huwa anazungumza.
Kataawahuni
Tanzaniakwanza
watu wakija kustuka watasikitika kumpa heshima hiyoNdo hivyo Ame gain heshima kubwa pole pole