binafsi nilikua nimemuwekea deadline hii ndo ilikua speech yake ya mwisho ikiwa nyepesi sitomtilia maanani tena --- ila mpaka sasa naona kaingia mitiniPole pole Leo kazingua. Asipoongea Leo atapoteza mashabiki.
LocalPossible. Kwani yuko taifani au ughaibuni?
Kusubiri kumsikia mtu asiye na familia wala malengo na anaishi kama digidigi nao ni Ugonjwa wa akili. Mirembe inawahusuHakika Wakati wa Mungu ni wakati sahihi
HATIMAYE Watanzania Kila Mahali wamechoshwa na Wahuni, ni kama Serikali ya Kikwete ilivyochokwa mwaka 2010-2015.
Nimepitia Online TVs Kadhaa ambazo ziko Live zikingoja Mh Polepole The Intelligent Aanze Press yake, Kuna maelfu ya Watanzania wake Kwa waume wanaendelea kutoa ya Moyon huku wakimsubiri Mzalendo !!.
Unaweza sema hivi, Maelfu ya watu walioko Live muda huu kwenye Media wakimsubiri Mh Polepole, ni Mara ya mia ya watu kwenye Hotuba yoyote ambayo Samia Huwa anazungumza.
Kataawahuni
Tanzaniakwanza
Polepole ni debe tupu, hana cha kuongea😆😆😆😆
21 August 2025Kataawahuni
Tanzaniakwanza
Akawie tu, muhimu afike.Huenda atakuja kwa kuchelewa.
Hii sio kawaida Kuna kitu kafanyiwa ndio maana umeona Leo mzima switch hajazima mitambo kwa akili tu ya kawaida jiulize kwanini Leo hajazima?Pole pole Leo kazingua. Asipoongea Leo atapoteza mashabiki.
Nonsense doesn’t wait – you just grab it and go, unless you’re part of the nonsense itself.Tupo wengi tunamsubiri aongee utumbo wake
Mkimsikia au kumuona tena,njooni mnichome motoHakika Wakati wa Mungu ni wakati sahihi
HATIMAYE Watanzania Kila Mahali wamechoshwa na Wahuni, ni kama Serikali ya Kikwete ilivyochokwa mwaka 2010-2015.
Nimepitia Online TVs Kadhaa ambazo ziko Live zikingoja Mh Polepole The Intelligent Aanze Press yake, Kuna maelfu ya Watanzania wake Kwa waume wanaendelea kutoa ya Moyon huku wakimsubiri Mzalendo !!.
Unaweza sema hivi, Maelfu ya watu walioko Live muda huu kwenye Media wakimsubiri Mh Polepole, ni Mara ya mia ya watu kwenye Hotuba yoyote ambayo Samia Huwa anazungumza.
Kataawahuni
Tanzaniakwanza
Itakua ashanyakuliwaHii sio kawaida Kuna kitu kafanyiwa ndio maana umeona Leo mzima switch hajazima mitambo kwa akili tu ya kawaida jiulize kwanini Leo hajazima?
Lukas Mwashambwa na Tlaahtlaah wamo pia?!Hakika Wakati wa Mungu ni wakati sahihi
HATIMAYE Watanzania Kila Mahali wamechoshwa na Wahuni, ni kama Serikali ya Kikwete ilivyochokwa mwaka 2010-2015.
Nimepitia Online TVs Kadhaa ambazo ziko Live zikingoja Mh Polepole The Intelligent Aanze Press yake, Kuna maelfu ya Watanzania wake Kwa waume wanaendelea kutoa ya Moyon huku wakimsubiri Mzalendo !!.
Unaweza sema hivi, Maelfu ya watu walioko Live muda huu kwenye Media wakimsubiri Mh Polepole, ni Mara ya mia ya watu kwenye Hotuba yoyote ambayo Samia Huwa anazungumza.
Kataawahuni
Tanzaniakwanza
Kuna kitu kimetokea na Mimi nilihisi hivi itatokea baada kujiuliza kwanini mzima switch Leo hajazima mitambo unaweza kulalamikia kumbe Kuna Jambo kafanyiwa sisi hatujui na Polepole kafeli kitu kimoja kusema ataweka kila kitu hadharani asingetoa vitisho hao wapuuzi wasingejipangabinafsi nilikua nimemuwekea deadline hii ndo ilikua speech yake ya mwisho ikiwa nyepesi sitomtilia maanani tena --- ila mpaka sasanaona kaingia mitini