Leo ni leo asemaye kesho muongo. Polepole kuongea na Watanzania saa mbili kamili usiku! Usikose!

Hii jamaa wame baini eneo ambalo yupo, na huenda wame jam internet access hilo eneo, Sasa hapa inaanza phase two, kitengo cha Digital Forensics nahisi jamaa wamekitoa nje ya nchi kuja fanya hiyo kazi.. Ila acha tuvute subira yavuta kheri maana bila any updates hata kwenye Instagram na kwingine something fishy 😎
 
So hakuna Plan B?
 
Red flag! Lets wait and see.. hakunaga accuracy ya kujificha 100%>> kwenye maswala ya Cyber Warfare. Hadi asubuhi mkiona kimya mjue tayari
 
Kweli aisee, mmojawapo ni mimi, mpaka muda huu sijalala nasubiri ujumbe kutoka kwa mh.slow slow, kataa wahuni ndani ya nchi yetu pendwa Tanzania
 
50/50 mimi nasubiri press yake tu, kama wamekamata au wamemtisha ndo itakua kithibitisho changu kwamba yeye ni tapeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…