Leo ni leo asemaye kesho muongo. Polepole kuongea na Watanzania saa mbili kamili usiku! Usikose!

Polepole ni wa kupuuzwa siyo mzalendo
 
kuanwau wanamchukulia jamaa poa,polepole anaijua ccm kuliko saa100,kasimu na mipango kwahiyo kama ni kweli basi hatunabudi kusema amazake ama zaccm

Hahahaahaha acha masikhara wewe,

yaani HP anaijua CCM kuliko saa100 na Khasssim?
Kuna siku utatuambia HP anaijua CCM kuliko JK na Mangura.

ndani ya mitaa ya Benghazi Libya.
 


TUTAONA.
 
Kuna kuwa na information pia Kuna kuwa na source of information

Polepole ana source of information
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…