Leo ni leo ndani ya Kampala; pale Zari kule Hamisa Mobetto

Status
Not open for further replies.
Mapokezi ya Hamisa jana hiyo
Upande wa pili pumzi imekata aah, ule usemi wa "Mtu apigiwi kwao" nazani utageuka leo.
kwahiyo uswahili wa waswahili wa Dar wa kukodiana ngoma kaupeleka Uganda.dada zetu shida sana
 
Angekuwa hashindani na mtu angeifanyia party yake Dar au hata kama ni Kampala angetafuta maeneo ya mbali si pua na mdomo.
Wewe hiyo sio party ya hamisa,hamisa kaalikwa tu ni mgeni
 
habari za jion.. Kama kawaida nipo hapa kampala leo kuna party mbili. Ya zari na ya hamisa halafu zote zinafanyika kumbi jirani ni shida aaah

Wewe hiyo sio party ya hamisa,hamisa kaalikwa tu ni mgeni
 
habari za jion.. Kama kawaida nipo hapa kampala leo kuna party mbili. Ya zari na ya hamisa halafu zote zinafanyika kumbi jirani ni shida aaah
Hamisa ni mgeni mwalikwa,mwenye party ni don zella
 
Subirini hamisa atakapozaa na star mwingine ndipo mtamuelewa akili zake ni ndogo
 
Adui wa mwanamke n mwanamke..Wanawake tukiacha tamaa na mashindano yasokuwa na tija tutapunguza wimbi la single mothers.
 
Yani huyu mtoto alivyo mrembo hivi akinipa sikatai, aaah na zama mpaka....

Kwa ufupi Mrembo Hamisa anamnyima Zari usingizi..........Na sasa atakuwa kachanganyikiwa kabisa kwani Ticket za kwenye Party ya Hamisa zimeshauzwa zote "Sold Off"

Ungemuona bila mekapu ungetoroka
 
Watu wanatokwa na mapovu kisa tu hamisa na zari[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila jamani mwacheni bi tununu apambane na hali yake kha!mlivyomkalia kooni bi dada wa watu sasa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…