amepoteza sana confidence
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
amepoteza sana confidence
Mapokezi ya Hamisa jana hiyo
Upande wa pili pumzi imekata aah, ule usemi wa "Mtu apigiwi kwao" nazani utageuka leo.
Wewe hiyo sio party ya hamisa,hamisa kaalikwa tu ni mgeniAngekuwa hashindani na mtu angeifanyia party yake Dar au hata kama ni Kampala angetafuta maeneo ya mbali si pua na mdomo.
Hivi kwanin hua hamjikubalikwahiyo uswahili wa waswahili wa Dar wa kukodiana ngoma kaupeleka Uganda.dada zetu shida sana
Wewe hiyo sio party ya hamisa,hamisa kaalikwa tu ni mgeni
Hamisa ni mgeni mwalikwa,mwenye party ni don zellahabari za jion.. Kama kawaida nipo hapa kampala leo kuna party mbili. Ya zari na ya hamisa halafu zote zinafanyika kumbi jirani ni shida aaah
Hata zari hawezi shindana na hamisa hata siku moja
"Lugha"Luga anajua? sio aende kuiaibisha nchi anavyofanyiwa interview
Zari namzidi nin hamisa,,urithi wa ivan na watoto watano?Mobeto anamzidi nini Zari kwa mfano ambacho Zari hawezi kuwa nacho? Twende taratibu labda utaeleweka mama.
Nawe kazae umekatazwaSubirini hamisa atakapozaa na star mwingine ndipo mtamuelewa akili zake ni ndogo
Yani huyu mtoto alivyo mrembo hivi akinipa sikatai, aaah na zama mpaka....
![]()
Kwa ufupi Mrembo Hamisa anamnyima Zari usingizi..........Na sasa atakuwa kachanganyikiwa kabisa kwani Ticket za kwenye Party ya Hamisa zimeshauzwa zote "Sold Off"
Hivi kwanin hua hamjikubali
Anakuaibisha anakujua ,,we ndugu yakenani atakubali ujinga huu ni ushamba tu mnazidi kutuaibisha unashindana na mtu kwa mambo ya vigodoro.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mi sijui nimeshakuwa mzee...!!! Yan wala sielew nini kinaendelea. Wala sijui hzo party ni za nn...!!
afu wewe nimekumiss sanaaHamisa party yake washauza ticket zote