Papillon 1906
JF-Expert Member
- Jun 19, 2025
- 228
- 753
Dube ni muimba kwaya.View attachment 3390341 watu wengi ambao wanapenda muziki wa rege ni either walianza kwa kumskiliza Bob au Dube 😊😊
Itakua wewe ni root ndio maana😅😅😅 Luck Dube aliubadilisha muziki wa rege uwe mtamu na kupendwa na watu wa jinsia zote, so mpeni heshima yake.Dube ni muimba kwaya.
Ile sio reggae ile ni kwaya yenye vionjo vya reggaeItakua wewe ni root ndio maana😅😅😅 Luck Dube aliubadilisha muziki wa rege uwe mtamu na kupendwa na watu wa jinsia zote, so mpeni heshima yake.
Ili iwe rege ilitakiwa iwe na nini?Ile sio reggae ile ni kwaya yenye vionjo vya reggae
Ilitakiwa iwe root reggaeIli iwe rege ilitakiwa iwe na nini?
Then ingekua ni root reggae😅😅😅 but Dube anafanya sweet reggae ila all in all zote ni reggaeIlitakiwa iwe root reggae
Turn ur lights down low- bob feat lauryn hill