Leo ni maadhimisho ya mziki wa Reggae Duniani, msanii gani au wimbo gani wa Reggae bora kwako?

Leo ni maadhimisho ya mziki wa Reggae Duniani, msanii gani au wimbo gani wa Reggae bora kwako?

Sure...watu wanamchukulia poa sana Lucky Dube ila jamaa alikuwa noma aysee! Nadhani wengi hawajamsikiliza vizuri au msg zake,they just think about rhythm...mbona kina Busy Signal wanaimba sweet reggae ila wana msg kali sana za kiharakati? Mfano ile ngoma ya Busy signal-Reggae music again? Binadamu wanachanganya sana mambo
mara ya kwanza kusikia nyimbo za rege na kuzipenda ni pale nilipo mwazima mshkaji wangu mvuta bhangi pc

ikarudi imejaa nyimbo za busy signal, fanta mojah, dube, marley na wengineo


tangu hapo nazikubalia na kuzielewa sana
 
Nyie wavuta bangi, kuna wimbo wa reggae niliupenda sana wakati nipo dogo, kwa sasa sijuwi jina la muimbaji wala jina la wimbo, nakumbuka tu kiitikio chake walikua wanaimba;

Ooo, ooo, ooo, ooo, ooo
ooo, ooo, ooo, ooo, oooo

yani o nyingi naomba msaada kwa mwenye kukumbuka huo wimbo anikumbushe na mimi.
 
Nawakubali wengi karibia wote ila
Peter Tosh na CULTURE ya Joseph Hill nawasikilizaga all the time!
 
Bob Marley na wailers wamesahidia kuufanya muziki wa reggae kuwa mkubwa na pendwa duniani kwa kuubiri upendo, ukombozi na ukweli.

Msanii gani wa reggae kakushawishi kupenda au kufuatilia mziki wa reggae?
Kwa upande wangu ningependa kugawa ktk category kama ifuatavyo.

1. Siasa, haki, amani na umoja
=Puppet Master
=War and Crîmes
= Free Hungry Man or Well Fed Slave
=Exile
=Fugitive
=Group Areas Act
= One People Different Colours
Zote za Lucky Philip Dube

2. Mapenzi, Familia, Malezi na Usaliti

= I have got you baby
=Cool Down Baby
=Lovers in Dangerous tîme
= Reap What You Saw
=Keep Knocking
= Children in the Street
= The Hand That Givieth
Zote za Philip Lucky Dube
Na My Love ya Senzo plus Rock It Baby ya Peter Tosh.

3. Kàmpeni dhidi ya Magonjwa ya kuàmbukiza, Ukimwi na Zinaa.

= Another Number in The Book
=No Glove no Love
= Reap what you saw

Zote za Lucky Philip Dube.

4. Nyakati ngumu, hamasa, Jitihada na Ujasiri

=Stand for Truth, Stand Alone.
=I have Got Jah
=Double Trouble
= Victims
=Guns and Roses
= Prisoner
=Apatheid( Uchawa)
Zote za Lucky Dube

Na
= Wells Dry
=Iron, Zion and Lion
= Fools dry for Want of peace
=Bush Dokta
Zote za Peter Tosh

Burudani, Pombe, Starehe

=We Love It/Ganja
=Regaemyelitis
=It Cures Glaucoma
= Rocking baby
=Serious Reggae Bussness
= Feel Irie
= Fresh Air.

Mchanganyiko: Dube, Tosh, Senzo, Bob Marley

6. Imani, Ibada, Asili na Utamaduni.

= Addis Ababa
=Its Me again Jah
=Haile Selasie
=Satan Company
=Jah is One God
 
Back
Top Bottom