Leo ni maadhimisho ya mziki wa Reggae Duniani, msanii gani au wimbo gani wa Reggae bora kwako?

Leo ni maadhimisho ya mziki wa Reggae Duniani, msanii gani au wimbo gani wa Reggae bora kwako?

Najua wapo wengi ila nawajuaga wawili tu. Bob Marley na Lucky Dube. Kati yao natembea na Lucky Dube
Bob Marley na wailers wamesahidia kuufanya muziki wa reggae kuwa mkubwa na pendwa duniani kwa kuubiri upendo, ukombozi na ukweli.

Msanii gani wa reggae kakushawishi kupenda au kufuatilia mziki wa reggae?
 
''This music gonna get bigger and bigger and bigger and bigger,and find it's right people as it get bigger,you understand,it shall grow-there is no end to this''
Bob Marley.
 
Back
Top Bottom