Leo ni maadhimisho ya mziki wa Reggae Duniani, msanii gani au wimbo gani wa Reggae bora kwako?

Leo ni maadhimisho ya mziki wa Reggae Duniani, msanii gani au wimbo gani wa Reggae bora kwako?

Lucky Dube alifanya Rege uwe muziki wa kuelimisha, harakati huku unakupa na vibe la ku dance (Kuruka majoka)
Sure...watu wanamchukulia poa sana Lucky Dube ila jamaa alikuwa noma aysee! Nadhani wengi hawajamsikiliza vizuri au msg zake,they just think about rhythm...mbona kina Busy Signal wanaimba sweet reggae ila wana msg kali sana za kiharakati? Mfano ile ngoma ya Busy signal-Reggae music again? Binadamu wanachanganya sana mambo
 
Bob Marley GOAT namkubali hasa ile inaitwa Africa unite .

Ila kwangu nilitokea kumkubali Yule jamaa anajiita Senzo ambaye aliimba Rasta weak up.

That guy was so talented
Album yake iliitwa Irene,ina ngoma kali sanaaa kuna hiyo Rasta wake up,who's gonna care,you were so great etc etc
 
Bob Marley ni namba moja kwangu ila Luck Dube alikua na njaa sana aisee acha kumponda mtu alieimba nyimbo za mafumbo enzi za ubaguzi SA ni vile wengi mnasikiliza nyimbo kama kuburudisha pekee midundo na base..
Nadhani wengi hawasikilizi msg za Lucky Dube...jamaa nimejitahidi kumsikiliza almost 95% ya nyimbo zake,he was so great...jumbe kali sana...naamini wenye uelewa wanaelewa
 
Kuwa serious basi,usiharibu thread ya watu kwa mambo ya kitoto na utani wa kijinga...we talkin about Reggae man...kamsikilize Lucky Dube ana ngoma yake inaitwa serious reggae business...
1751374123576.jpg
 
Back
Top Bottom