Leo ni maadhimisho ya mziki wa Reggae Duniani, msanii gani au wimbo gani wa Reggae bora kwako?

Ime bidi niku tag, maana siku ile uli sema wewe ni chizi wa reggae
Mkuu,

Mimi nimepanda stage moja na Jah Kimbuteh na Justin Kalikawe.

Jah Kimbuteh, mtu ambaye compliment yake ni ngumu sana, akanifuata mwenyewe akaniambia "You killed it".

Kina Galinoma tumejifunza nao kupiga gita.

Tumemleta Beenie Man Tanzania, wakati Beenie Man yuko top, pamoja na kina Rodney Mutie Mengi na Gotta Irie.

Basi tu wengine tuliamua kwenda shule na kuingia ofisini.
 
naelewa unacho maanisha,

mimi napenda muziki kusikiliza na kujaribu vitu kadha wa kadha.

Kwenye hip hop nako uli pita?, maana uchaguzi wako wa maneno huonyesha hilo!
 
Nilikuwapo tangu enzi za Salehe Jabir. Mpaka kuanzishwa kwa Kwanza Unit. Msiba wa Nigga One. Video za kwanza za ITV za Kwanza Unit na Hard Blasterz, Sossy B etc.

Mashindano ya "Yo! Rap Bonanza" ya Kim Mgomelo nilikuwapo. Too Proud anaingia mjini tumemkaribisha "Dar Young Mob".

Concerts za Korean Culture Centre, Russian Cultural Centre, Empire Cinema mpaka Coco Beach nilikuwapo.

Masela wote waliokuwa wanarekodi Mawingu Studio kwa Bonny Love, kina GWM na kina Kolumba Mwingira tumerekodi nao, Temeke Soundcrafters, Don Bosco kwa Marlon Linje.
 
Basi mukide mkuu, maana hapa tayari usha nipiga chenga kudadadeki.
 
Ukipata muda fuatilia kipindi Cha SALEH JABIR (KUVICHAKA) KIBONGE TOZII WA EFM HATA YOUTUBE.

ANAKIPINDI KINAITWA ""THE CLASSIC"" Hapo huwa anawahoji wasanii wakongwe mbali mbali wanasimulia safari zao za kimuziki, pia wapo wasanii wa maigizo,vichekesho , watangazaji, ma DJ's mbali mbali pata muda utajifunza mengi Sana hata BAADHI YA WATU bro kiranga kawataja wapo pia na story zao

All in all, brother kiranga ni kijana wa town 'kama kina mrangi' na wengineo wengi ambao ni kizazi Cha 80's so kwa kifupi ni hayo ndugu Raisi wetu wa ma jobless pro max.
 
Huyo namjua sana
 
Back
Top Bottom