Alikuwa abajaribu kujenga kingdom yake huku akiisimamisha kwenye misingi ya uongo.Katika kuiprote Zaire duniani Mobutu aliitisha shindano la ngumi kati ya Mohamed Ali na mpiganaji mwingine mshindi aliondoka na $ 50 million huo ulikuwa mwaka 1976. Dunia nzima ilitune TV kuangalia ngumi za Kinshasa
Mobutu Sese Seko Kuku Ngbendu wa Za BangaHabari zenu familia ya JF. Wadau mtakumbuka bara hili liliwahi kutawaliwa na viongozi wadhalimu na Madikteta wa hatari. Zaire ama Congo DRC iliwahi kutawaliwa na Mobutu seseseko 1965 hadi 17/05/1997. Alipinduliwa na Laurence kabila kwa msaada wa Banyamulenge wa Rwanda nyuma ya Kagame. Huyu bwana alikuwa anajiita pia kukungedu wa Zabanga, maana yake jogoo katikati ya majogoo...
Inasikitisha sana nchi ambayo ni kiwango kijubwa cha wasiojua kusoma na kuandika iliweza kutoa $ millioni 50 mwaka 1976 kama tuzo la ushindiMkuu hilo pambano nimeliona ilikuwa ni noma
Rumble in the jungle..Katika kuiprote Zaire duniani Mobutu aliitisha shindano la ngumi kati ya Mohamed Ali na mpiganaji mwingine mshindi aliondoka na $ 50 million huo ulikuwa mwaka 1976. Dunia nzima ilitune TV kuangalia ngumi za Kinshasa
Katika kuiprote Zaire duniani Mobutu aliitisha shindano la ngumi kati ya Mohamed Ali na mpiganaji mwingine mshindi aliondoka na $ 50 million huo ulikuwa mwaka 1976. Dunia nzima ilitune TV kuangalia ngumi za Kinshasa
...jiheshimu wewe;Kuna mtoto wa Mobutu anaitwa Okongo sasa hivi anauza bar kama waiter!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wee demu una michapo ya maana yaaanMobutu alijenga kiwanda cha magari Morocco kina tengeneza magari ya kifahari sana
HaaahaaaUkiweka kwenye BREVIS unasikiliza toka KIMARA hadi Posta
signature yako mmmmh
Alishajiuzulu siku nyingi ili apambane kisiasa dhidi ya kabila. Alikuwa waziri wa KilimoHuyu jamaa alikuwa kiboko kaacha Mali nyingi familia yake haiwezi kuwa masikini watoto wengine wako morocco na wengine Paris pia yupo kijana wake anaitwa nzanga Mobutu ni waziri
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila kwa huyu wakwenu hawezi kufa leo wala kesho maana maombi yenu yanafanya kaziKumbe hata madikteta nao Wanafariki