Kiti Chema
JF-Expert Member
- Oct 18, 2017
- 1,793
- 1,961
Mkuu fasiliteta Wahanga wengine walitumia tu cheti cha kidato cha nne, kujiunga na chuo, hivyo ametumikia Kozi husika kwa Kipindi chote cha Kozi na kuhitimu. Huyu utamwita ni "FEKI"??!!Huu utaratibu wa Kila mtu kujiona anapaswa kufikiriwa ndiyo ulokua unalalamikiwa miaka nenda rudi,unajisikiaje mtu anafanya kazi kwa Vyeti vya ujanja janja then wewe mwenye Vyeti visivyo na shaka unahangaika upo uraiani.
Hili fagio bado lilipaswa kuendelea tu na hakuna huruma iwe umefanya kazi hata miaka100,lazma uwajibishwe.
We huoni kiasi gani manesi feki wanavyokatiza maisha ya wagonjwa wangapi mahospitali?
Nimeshuhudia watu wakitengeneza Vyeti feki na hata Mimi nishaombwa cheti changu kieditiwe mtu aingizwe kwenye system na Mkubwa mmoja bwana wake mdada aliyekua rafiki yangu.
Haya Mambo ukiangalia kijujuu na kihuruma huruma nchi haitoenda na utaishiwa kulaumiwa tu Kama utawala wa J.k
Mwamba anayo hoja ya msingi hapa,Unatumbua watu na wala hufanyi replacement , na unawanyima stahiki zao , hii nchi yetu sote , hata kama kuna makosa yalifanyika , wapewe stahiki zao , yeye Maghufuli kwenye uchaguzi alitenda haki? Yeye alijiona yupo juu ya sheria.....Mungu akiamua amhukumu Sawa Sawa na matendo yake tutafika ??
Jamaa alikuwa na mission yake tuu ya hovyo , apumzike Tu Kwa amani......kaumiza watu wengi Sana tena kundi aliloumiza ni la middle income people na high income unatamka wazi wazi unataka matajiri waishi kama mashetani how comes ? Wamekukosea nini ?na amesababisha kuwe na mlundikano wa mabanda kwenye miji watu wakiishi kwenye ufukara mkubwa .....
Kwa kisingizio cha Raisi wa wanyonge
View attachment 1733892
Agayaaa😆😆😆Unatumbua watu na wala hufanyi replacement , na unawanyima stahiki zao , hii nchi yetu sote , hata kama kuna makosa yalifanyika , wapewe stahiki zao , yeye Maghufuli kwenye uchaguzi alitenda haki? Yeye alijiona yupo juu ya sheria.....Mungu akiamua amhukumu Sawa Sawa na matendo yake tutafika ??
Jamaa alikuwa na mission yake tuu ya hovyo , apumzike Tu Kwa amani......kaumiza watu wengi Sana tena kundi aliloumiza ni la middle income people na high income unatamka wazi wazi unataka matajiri waishi kama mashetani how comes ? Wamekukosea nini ?na amesababisha kuwe na mlundikano wa mabanda kwenye miji watu wakiishi kwenye ufukara mkubwa .....
Kwa kisingizio cha Raisi wa wanyonge
View attachment 1733892
Basi muwe mnawaacha sasa wale wote wanao fanya sherehe wakati huu! Maana hiyo ni njia mojawapo ya kupunguza machungu waliyo pitia. Masuala ya kuwalazimisha kumuomboleza mtu aliye waumiza na kuwatesa, ni ujinga na uwendawazimu.Huu utaratibu wa Kila mtu kujiona anapaswa kufikiriwa ndiyo ulokua unalalamikiwa miaka nenda rudi,unajisikiaje mtu anafanya kazi kwa Vyeti vya ujanja janja then wewe mwenye Vyeti visivyo na shaka unahangaika upo uraiani.
Hili fagio bado lilipaswa kuendelea tu na hakuna huruma iwe umefanya kazi hata miaka100,lazma uwajibishwe.
We huoni kiasi gani manesi feki wanavyokatiza maisha ya wagonjwa wangapi mahospitali?
Nimeshuhudia watu wakitengeneza Vyeti feki na hata Mimi nishaombwa cheti changu kieditiwe mtu aingizwe kwenye system na Mkubwa mmoja bwana wake mdada aliyekua rafiki yangu.
Haya Mambo ukiangalia kijujuu na kihuruma huruma nchi haitoenda na utaishiwa kulaumiwa tu Kama utawala wa J.k
Wamemzungusha weeee! Haijasaidia chochote. Kesho ndiyo kesho!! Mtoto hatumwi dukani.Kesho ardhi inammeza fasta. Mungu fundi jameni.
Ili usherehekee nae baada ya kifo cha mtukufu wako.Sasa unaleta hii habari hapa ili tukuonee huruma!?
Machozi ya watu hayapoteagi, kuna watu walipoteza nduguDua hatimae zimejibiwa
Kutumia vyeti visivyo halali ni kosa kubwa sana, na Nchi haiwezi kuendele kama kuna watu na aina hii, na matokeo yake tuna engineers ambao hata kutengeneza machine ya Njiti za meno hawawezi, madakiri ambo hawana uwezo wa Kutibu, waalimu hawajui kufundisha oroza ndefu, na uhakiki lazıma uendelee, na lazıma tuwe na website ya Serikali ambayo Vyeti vyote vinavyotolewa na Shule zote nchini vinasajiliwa, ili mwajiri aweze kuhaki vyeti kabla hajamwajiri mfanyakazi. Mazara ya kuwa na wataalamu feki ni Mkubwa sanaHuyu Mama alikuwa Afisa Muuguzi Mkunga, mwenye elimu ya stashahada toka KCMC COLLEGE na shahada Muhimbili university.
Alifariki akiwa na miaka 58 (miaka 2 kabla ya umri wa kustaafu), kwa shinikizo la damu na heart stroke.
Kabla ya kupata maradhi haya alitumbuliwa UTUMISHI wake na serikali kutokana na "INCONSISTENCY" kwenye cheti chake cha form four
Kutumbuliwa kwake kukaenda sambamba na kukosa mafao yake kwa utumishi wa miaka 33 ndani ya serikali.
FUNZO:
Sio kila hukumu kwa mujibu wa sheria ni hukumu kwa mujibu wa haki.
RIP - SHANGAZI
Una akili sana bro ulitakiwa kua ulaya sasaUnatumbua watu na wala hufanyi replacement , na unawanyima stahiki zao , hii nchi yetu sote , hata kama kuna makosa yalifanyika , wapewe stahiki zao , yeye Maghufuli kwenye uchaguzi alitenda haki? Yeye alijiona yupo juu ya sheria.....Mungu akiamua amhukumu Sawa Sawa na matendo yake tutafika ??
Jamaa alikuwa na mission yake tuu ya hovyo , apumzike Tu Kwa amani......kaumiza watu wengi Sana tena kundi aliloumiza ni la middle income people na high income unatamka wazi wazi unataka matajiri waishi kama mashetani how comes ? Wamekukosea nini ?na amesababisha kuwe na mlundikano wa mabanda kwenye miji watu wakiishi kwenye ufukara mkubwa .....
Kwa kisingizio cha Raisi wa wanyonge
View attachment 1733892
R.I.P aliyemtumbua shangaziHuyu Mama alikuwa Afisa Muuguzi Mkunga, mwenye elimu ya stashahada toka KCMC COLLEGE na shahada Muhimbili university.
Alifariki akiwa na miaka 58 (miaka 2 kabla ya umri wa kustaafu), kwa shinikizo la damu na heart stroke.
Kabla ya kupata maradhi haya alitumbuliwa UTUMISHI wake na serikali kutokana na "INCONSISTENCY" kwenye cheti chake cha form four
Kutumbuliwa kwake kukaenda sambamba na kukosa mafao yake kwa utumishi wa miaka 33 ndani ya serikali.
FUNZO:
Sio kila hukumu kwa mujibu wa sheria ni hukumu kwa mujibu wa haki.
RIP - SHANGAZI
Haukua uongozi ila mtuUsema kweli, hili lilikuwaga tatizo sana na liliyumbusha sana familia za watu. Kwa hili uongozi ulichemka haukutumia hekima
Hadi miaka 100 inatimia ukiwa kazini huyo aliyekuajiri atakuwa amelala usingizi wa pono?Huu utaratibu wa Kila mtu kujiona anapaswa kufikiriwa ndiyo ulokua unalalamikiwa miaka nenda rudi,unajisikiaje mtu anafanya kazi kwa Vyeti vya ujanja janja then wewe mwenye Vyeti visivyo na shaka unahangaika upo uraiani.