Kiti Chema
JF-Expert Member
- Oct 18, 2017
- 1,793
- 1,961
Naona haya mambo ni yapo huku na huku, mfano wewe uwe umefaulu vizuri tu ila home kwenu pasiwepo na pesa ya kukuendeleza baada ya hapo tajiri apite kwa viongozi anunue cheti chako ili mwanaye aliyepata zero akasome na kupokea mshahara kwa jira lako, je siku utakapo sikia jina lako wanalipokelea mshahara harafu wewe unasukuma mkokoteni ungejisikiaje au ni machungu kiasi gani, nawasilisha,