Leo ni mwaka mmoja kamili toka kifo cha Shangazi wetu kilipotokea kwa kutumbuliwa utumishi Serikalini. Inasikitisha

Naona haya mambo ni yapo huku na huku, mfano wewe uwe umefaulu vizuri tu ila home kwenu pasiwepo na pesa ya kukuendeleza baada ya hapo tajiri apite kwa viongozi anunue cheti chako ili mwanaye aliyepata zero akasome na kupokea mshahara kwa jira lako, je siku utakapo sikia jina lako wanalipokelea mshahara harafu wewe unasukuma mkokoteni ungejisikiaje au ni machungu kiasi gani, nawasilisha,
 
Mfalme Suleimani alipo ulizwa na Mwenyezi Mungu apewe nini! Katika hali ya kushangaza! alichagua kupewa Hekima! Kupitia hiyo Hekima, alijikuta amejaliwa kila kitu.

Sasa kutana na Kiongozi/Mtawala aliyenyimwa hiyo Hekima/Busara sasa! Aisee shughuli utaiona.
 
R.I.P Shangazi na wote waliokufa kwa sababu ya wanyonge!.😢😢
 
Huu utaratibu wa Kila mtu kujiona anapaswa kufikiriwa ndiyo ulokua unalalamikiwa miaka nenda rudi,unajisikiaje mtu anafanya kazi kwa Vyeti vya ujanja janja then wewe mwenye Vyeti visivyo na shaka unahangaika upo uraiani.

Hili fagio bado lilipaswa kuendelea tu na hakuna huruma iwe umefanya kazi hata miaka100,lazma uwajibishwe.

We huoni kiasi gani manesi feki wanavyokatiza maisha ya wagonjwa wangapi mahospitali?

Nimeshuhudia watu wakitengeneza Vyeti feki na hata Mimi nishaombwa cheti changu kieditiwe mtu aingizwe kwenye system na Mkubwa mmoja bwana wake mdada aliyekua rafiki yangu.

Haya Mambo ukiangalia kijujuu na kihuruma huruma nchi haitoenda na utaishiwa kulaumiwa tu Kama utawala wa J.k
Mkuu fasiliteta Wahanga wengine walitumia tu cheti cha kidato cha nne, kujiunga na chuo, hivyo ametumikia Kozi husika kwa Kipindi chote cha Kozi na kuhitimu. Huyu utamwita ni "FEKI"??!!
Anyway kwa Wahanga wa aina hii Serikali ingekuwa na jicho la Huruma kuwalipa japo Viinua Mgongo vyao.
 
Unatumbua watu na wala hufanyi replacement , na unawanyima stahiki zao , hii nchi yetu sote , hata kama kuna makosa yalifanyika , wapewe stahiki zao , yeye Maghufuli kwenye uchaguzi alitenda haki? Yeye alijiona yupo juu ya sheria.....Mungu akiamua amhukumu Sawa Sawa na matendo yake tutafika ??

Jamaa alikuwa na mission yake tuu ya hovyo , apumzike Tu Kwa amani......kaumiza watu wengi Sana tena kundi aliloumiza ni la middle income people na high income unatamka wazi wazi unataka matajiri waishi kama mashetani how comes ? Wamekukosea nini ?na amesababisha kuwe na mlundikano wa mabanda kwenye miji watu wakiishi kwenye ufukara mkubwa .....

Kwa kisingizio cha Raisi wa wanyonge
View attachment 1733892
Mwamba anayo hoja ya msingi hapa,
KALAGA BAHO😳
 
Agayaaa😆😆😆
 
Huu utaratibu wa Kila mtu kujiona anapaswa kufikiriwa ndiyo ulokua unalalamikiwa miaka nenda rudi,unajisikiaje mtu anafanya kazi kwa Vyeti vya ujanja janja then wewe mwenye Vyeti visivyo na shaka unahangaika upo uraiani.

Hili fagio bado lilipaswa kuendelea tu na hakuna huruma iwe umefanya kazi hata miaka100,lazma uwajibishwe.

We huoni kiasi gani manesi feki wanavyokatiza maisha ya wagonjwa wangapi mahospitali?

Nimeshuhudia watu wakitengeneza Vyeti feki na hata Mimi nishaombwa cheti changu kieditiwe mtu aingizwe kwenye system na Mkubwa mmoja bwana wake mdada aliyekua rafiki yangu.

Haya Mambo ukiangalia kijujuu na kihuruma huruma nchi haitoenda na utaishiwa kulaumiwa tu Kama utawala wa J.k
Basi muwe mnawaacha sasa wale wote wanao fanya sherehe wakati huu! Maana hiyo ni njia mojawapo ya kupunguza machungu waliyo pitia. Masuala ya kuwalazimisha kumuomboleza mtu aliye waumiza na kuwatesa, ni ujinga na uwendawazimu.

Siku zote ukipanda magugu utavuna magugu tu! Usitegemee kuvuna mahindi au mpunga.
 
Huyu Mama alikuwa Afisa Muuguzi Mkunga, mwenye elimu ya stashahada toka KCMC COLLEGE na shahada Muhimbili university.
Alifariki akiwa na miaka 58 (miaka 2 kabla ya umri wa kustaafu), kwa shinikizo la damu na heart stroke.

Kabla ya kupata maradhi haya alitumbuliwa UTUMISHI wake na serikali kutokana na "INCONSISTENCY" kwenye cheti chake cha form four

Kutumbuliwa kwake kukaenda sambamba na kukosa mafao yake kwa utumishi wa miaka 33 ndani ya serikali.

FUNZO:
Sio kila hukumu kwa mujibu wa sheria ni hukumu kwa mujibu wa haki.

RIP - SHANGAZI
Kutumia vyeti visivyo halali ni kosa kubwa sana, na Nchi haiwezi kuendele kama kuna watu na aina hii, na matokeo yake tuna engineers ambao hata kutengeneza machine ya Njiti za meno hawawezi, madakiri ambo hawana uwezo wa Kutibu, waalimu hawajui kufundisha oroza ndefu, na uhakiki lazıma uendelee, na lazıma tuwe na website ya Serikali ambayo Vyeti vyote vinavyotolewa na Shule zote nchini vinasajiliwa, ili mwajiri aweze kuhaki vyeti kabla hajamwajiri mfanyakazi. Mazara ya kuwa na wataalamu feki ni Mkubwa sana
 
Unatumbua watu na wala hufanyi replacement , na unawanyima stahiki zao , hii nchi yetu sote , hata kama kuna makosa yalifanyika , wapewe stahiki zao , yeye Maghufuli kwenye uchaguzi alitenda haki? Yeye alijiona yupo juu ya sheria.....Mungu akiamua amhukumu Sawa Sawa na matendo yake tutafika ??

Jamaa alikuwa na mission yake tuu ya hovyo , apumzike Tu Kwa amani......kaumiza watu wengi Sana tena kundi aliloumiza ni la middle income people na high income unatamka wazi wazi unataka matajiri waishi kama mashetani how comes ? Wamekukosea nini ?na amesababisha kuwe na mlundikano wa mabanda kwenye miji watu wakiishi kwenye ufukara mkubwa .....

Kwa kisingizio cha Raisi wa wanyonge
View attachment 1733892
Una akili sana bro ulitakiwa kua ulaya sasa
 
Huyu Mama alikuwa Afisa Muuguzi Mkunga, mwenye elimu ya stashahada toka KCMC COLLEGE na shahada Muhimbili university.
Alifariki akiwa na miaka 58 (miaka 2 kabla ya umri wa kustaafu), kwa shinikizo la damu na heart stroke.

Kabla ya kupata maradhi haya alitumbuliwa UTUMISHI wake na serikali kutokana na "INCONSISTENCY" kwenye cheti chake cha form four

Kutumbuliwa kwake kukaenda sambamba na kukosa mafao yake kwa utumishi wa miaka 33 ndani ya serikali.

FUNZO:
Sio kila hukumu kwa mujibu wa sheria ni hukumu kwa mujibu wa haki.

RIP - SHANGAZI
R.I.P aliyemtumbua shangazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Polen,ila mtesi wenu nae kaondoka,kunywen bia.

Ambajo jiwe hakujua,ni kuwa aliwatumbua watu ambao wamesoma vyuo na wakafaulu,tatzo lilkuwa cheti cha form 4,kwahyo ujuzi waliusomea na wakafaulu
 
Huku watu wanatumbuliwa kwa kuitwa vilaza nyuma ya pazia vilaza wapya wanapewa wanapewa ajira walizonyang'anywa vilaza wa zamani.
 
Huu utaratibu wa Kila mtu kujiona anapaswa kufikiriwa ndiyo ulokua unalalamikiwa miaka nenda rudi,unajisikiaje mtu anafanya kazi kwa Vyeti vya ujanja janja then wewe mwenye Vyeti visivyo na shaka unahangaika upo uraiani.

Hili fagio bado lilipaswa kuendelea tu na hakuna huruma iwe umefanya kazi hata miaka100,lazma uwajibishwe.

We huoni kiasi gani manesi feki wanavyokatiza maisha ya wagonjwa wangapi mahospitali?

Nimeshuhudia watu wakitengeneza Vyeti feki na hata Mimi nishaombwa cheti changu kieditiwe mtu aingizwe kwenye system na Mkubwa mmoja bwana wake mdada aliyekua rafiki yangu.

Haya Mambo ukiangalia kijujuu na kihuruma huruma nchi haitoenda na utaishiwa kulaumiwa tu Kama utawala wa J.k
Hadi miaka 100 inatimia ukiwa kazini huyo aliyekuajiri atakuwa amelala usingizi wa pono?
 
Back
Top Bottom