Leo ni Mwaka mmoja tangu Polepole ametekwa. Je, yupo hai?

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
123,265
Reaction score
98,318
Tarehe 5 kuamkia 6.10.2025 Polepole alitoweka nyumbani kwake pale Union jioni dsm ikidaiwa alichukuliwa na watu wasiyo julikana.

Watanzania bado hatujui hiyo ndugu yetu yupo wapi na kwenye hali gani,Je yupo hai au amefariki.

Tuzidi kumuomba watanzania kwa Umoja wetu.

Soma Humphrey Polepole atekwa usiku wa kuamkia leo Oktoba 6

1791270429794.png
 
Mkuu Mmawia ,kwanza asante for this, kwasababu ni mara nyingi, mtu akiishatoweka anasahaulika jumla, hivyo kitendo cha kumkumbuka na kuikumbuka tarehe hii, ni heshima kubwa kwake na kumtendea haki.

Asante,
Ila pia napendekeza marekebisho kwenye bandiko lako naya bold
Tuzidi kumuomba watanzania kwa Umoja wetu.
Watanzania katika umoja wetu, tuzidi kumuombea, arejeshwe salama usalmini.

p.
 
Huyo ameshauawa, kauawa na kikosi alichoshiriki kukianzisha japo kwa sasa kiko mikononi mwa wafadhili wengine.

Hapa ambaye hatuna uhakika kama ameshauawa au la ni Nchimbi, Samia ni serial killer.
 
Inasikitisha sana
 
Tarehe 5 kuamkia 6.10.2025 Polepole alitoweka nyumbani kwake pale Union jioni dsm ikidaiwa alichukuliwa na watu wasiyo julikana.

Watanzania bado hatujui hiyo ndugu yetu yupo wapi na kwenye hali gani,Je yupo hai au amefariki.

Tuzidi kumuomba watanzania kwa Umoja wetu.
Hongera sana kwa kujali hata kukumbuka hadi tarehe🙏🙏

Ukiona mwezio analia kwa uchungu na maumivu makali ukamcheka ipo siku nawe utalia kwa uchungu na maumivu makali wengine watakucheka 🤭

Taifa limefumbia macho mambo maovu kama haya sasa imekuwa mazoea na utaratibu imefikia hadi mtoto wa drs IV anajitoa uhai😭😭
Mungu Ibariki Tanzania.
 
Tarehe 5 kuamkia 6.10.2025 Polepole alitoweka nyumbani kwake pale Union jioni dsm ikidaiwa alichukuliwa na watu wasiyo julikana.

Watanzania bado hatujui hiyo ndugu yetu yupo wapi na kwenye hali gani,Je yupo hai au amefariki.

Tuzidi kumuomba watanzania kwa Umoja wetu.

Soma Humphrey Polepole atekwa usiku wa kuamkia leo Oktoba 6
Ni wazi,
porojo kama hizi,
hulenga kutafuta attention na kuatract public sympathy tu, hakuna kingine 🐒
 
Tarehe 5 kuamkia 6.10.2025 Polepole alitoweka nyumbani kwake pale Union jioni dsm ikidaiwa alichukuliwa na watu wasiyo julikana.

Watanzania bado hatujui hiyo ndugu yetu yupo wapi na kwenye hali gani,Je yupo hai au amefariki.

Tuzidi kumuomba watanzania kwa Umoja wetu.

Soma Humphrey Polepole atekwa usiku wa kuamkia leo Oktoba 6
Ile damu iliyomwagika hawezi kuwa hai! Sawa na Mdude, medically that bleeding can not make one survive
 
Huyo ameshauawa, kauawa na kikosi alichoshiriki kukianzisha japo kwa sasa kiko mikononi mwa wafadhili wengine.
Hapa ambaye hatuna uhakika kama ameshauawa au la ni Nchimbi, Samia ni serial killer.
Polepole na Mdude walishaondoka na kifo cha kuuawa. Hakuna namna kwa zile damu watu hao wawe hai mpaka leo. Nasisitiza hakuna namna
 
Hata polepole kipindi cha magufuri alikuwa moto kukuzidi wewe lakini mwisho wa siku ccm walimfilimba na wewe jiandae na mafuta kwani siku sio nyingi
gentleman,
sihitaji kua na moto kueleza ukweli mtupu kwenye mambo ya msingi tu.

na kabisa siwezi kubabaika na ramli, mihemko au makasiriko useless ya mdau yeyote yule wa Jf asiependa kuona ukweli ukiwekwa wazi 🐒
 
Nakumbuka meneno haya ya H.Polepole:
"Tupambae hapa kwetu wauni wasiibagaze serikali yetu, nasema haya kwasababu wauni sio watu wazuri, wapo pale congo wanaitwa (futungo) kule boswana (mondo-Pallarel state) na hapa kwetu wasitokee wauni".

Maneno haya yananifanya kuuambia umma kwamba Pendekezo la Katiba iliyopo kwenye tovuti ya www.katibampya.com imeunda muundo wa dola lenye mihimili minne ya kitaifa, yaani.
1. Baraza la Usimamizi wa Taifa
2. Serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania
3. Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania
4. Mahakama ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Muundo huo unatoa mwangaza mzuri na wa kudumu kuhusu hofu aliyoiyonyesha kwamba Deep state Authoritys kiukweli ni jambo baya na lisilopaswa kuwepo maana ndio linalodhoofisha uwepo wa mamlaka ya wananchi.

Mihimili yote minne imetajwa katika SURA YA NNE ya rasimu hiyo ya katiba kwa kuanza na Baraza la Usimamizi wa Taifa ibara ya 98 mbaka 116 ksha kufuatia mihimili minginieyo kama orodha ilivyojipanga kwa nambari.
 
Hata polepole kipindi cha magufuri alikuwa moto kukuzidi wewe lakini mwisho wa siku ccm walimfilimba na wewe jiandae na mafuta kwani siku sio nyingi
Bora umuambie kabisa.
 
Back
Top Bottom