Leo ni Mwaka mmoja tangu Polepole ametekwa. Je, yupo hai?

Leo ni Mwaka mmoja tangu Polepole ametekwa. Je, yupo hai?

Taratibu Mkuu, Mambo hayaendi hivyo alafu ona unatoa amri kama Nani kwenda kwa Nani vile?
 
Kuna viapo ukienda kinyume navyo umeenda …dunia nzima utaratibu ndio huo hata Marekani ukikengeuka baadhi ya viapo lazima wakupeleke. Alikuwa anajua gharama za kutoa Siri kuu.
 
Tarehe 5 kuamkia 6.10.2025 Polepole alitoweka nyumbani kwake pale Union jioni dsm ikidaiwa alichukuliwa na watu wasiyo julikana.

Watanzania bado hatujui hiyo ndugu yetu yupo wapi na kwenye hali gani,Je yupo hai au amefariki.

Tuzidi kumuomba watanzania kwa Umoja wetu.

Soma Humphrey Polepole atekwa usiku wa kuamkia leo Oktoba 6

Rest Easy Balozi Polepole.

Kama Balozi na Katibu wa zamani wa Itikadi na Uenezi alipotezwa kikatili hivyo na hakuna aliyesema chochote hata chama na Serikali aliyoitumikia vipi kuhusu raia wa kawaida?..

Nchi hii ina safari ndefu na ngumu kupiga hatua.
 
Kuna viapo ukienda kinyume navyo umeenda …dunia nzima utaratibu ndio huo hata Marekani ukikengeuka baadhi ya viapo lazima wakupeleke. Alikuwa anajua gharama za kutoa Siri kuu.
Polepole alitoa Siri za Wahuni au nchi ?
 
Hao walitoa Siri za nchi.

Tuambie Siri za nchi alizosema Polepole.
Kama ulikuwa unamsikiliza vizuri usingeuliza swali la kipuuzi hivi…Mafichoni alikwenda kufanya nini kama alikuwa anatoa siri za familia yake?
 
Kama ulikuwa unamsikiliza vizuri usingeuliza swali la kipuuzi hivi…Mafichoni alikwenda kufanya nini kama alikuwa anatoa siri za familia yake?
Nilimsikiliza vizuri sana ila hizo Siri za nchi alizotaja sikuzisikia.

Tutajie wewe uliyezisikia.
 
ukweli mtupu HAYUKO HAI TENA.
kwenye kukamatwa kaleta upinzani na migomo kapondwa sana na kupelekea kuvuja damu maeneo mbalimbali na ubongoni ilipopelekea kifo chake.

anyway na CCM yake mpya ni hakika.

watu wanasema alikuwa na majivuno na hapokei simu wala kujibu sms na namba kawapa mwenyewe.

kila sarafu ina upande miwili ila HPOLEPOLE karudi kwenye chanzo kama kila ben saanane BYEBYE
from Mwananchi mmoja raia wa wa Tanzania
 
Back
Top Bottom