Afcon kinanuka
JF-Expert Member
- Apr 5, 2026
- 1,623
- 4,213
Popote alipo mabaya yamkute huko huko bwege huyu. Alikuwa mmoja wa Team Magufuli iliyoanzisha siasa za chuki, uuaji, wizi wa uchaguzi na uchafu wote. Walivyowapoteza akina Ben Saanane ndivyo nao wamepotezwa na mfumo uleule kwa nmna ileile. No regretsTarehe 5 kuamkia 6.10.2025 Polepole alitoweka nyumbani kwake pale Union jioni dsm ikidaiwa alichukuliwa na watu wasiyo julikana.
Watanzania bado hatujui hiyo ndugu yetu yupo wapi na kwenye hali gani,Je yupo hai au amefariki.
Tuzidi kumuomba watanzania kwa Umoja wetu.
Soma Humphrey Polepole atekwa usiku wa kuamkia leo Oktoba 6
Huyu mtu kapoa Sana siku hizi sijui nini kimemsibu
inaumiza sana yaani binadamu mwenzetu anapotea kama juju au Bata.Tarehe 5 kuamkia 6.10.2025 Polepole alitoweka nyumbani kwake pale Union jioni dsm ikidaiwa alichukuliwa na watu wasiyo julikana.
Watanzania bado hatujui hiyo ndugu yetu yupo wapi na kwenye hali gani,Je yupo hai au amefariki.
Tuzidi kumuomba watanzania kwa Umoja wetu.
Soma Humphrey Polepole atekwa usiku wa kuamkia leo Oktoba 6
Kimsingi ni UNAFIKI tu kujifanya eti Humphrey Polepole alitubu kwa hiyo tufuate yale aliyokuwa anasema kabla hajapotezwa.upo sahihi sana nakumbuka jinsi alivyokuwa anatutambia na VII EITIII
nonsense 🐒Kama ni kuua utaua wengi sana lakini hii ni amri, mrudishe Humphrey Polepole tena akiwa hai. Vinginevyo ndugu jamaa na marafiki zako hawata amini macho yao.
Takbiiiiiiiiirrrrrrrr.
Samia ni kiongozi wa nini labdaBaada ya kubishania mambo ya umisi na simba na yanga mshashiba makande sasa mnahamia huku kutishia viongozi, kweli huu upande wa mataahira.
Kiongozi gani aliyetishiwa?Baada ya kubishania mambo ya umisi na simba na yanga mshashiba makande sasa mnahamia huku kutishia viongozi, kweli huu upande wa mataahira.
Comrade kiroho safi kabisa! kama kuna posho huko niunge plsBaada ya kubishania mambo ya umisi na simba na yanga mshashiba makande sasa mnahamia huku kutishia viongozi, kweli huu upande wa mataahira.
Mimi Sina connection yoyote na ccm, ila tuu nimevutiwa jinsi wanavyojua kucheza na akili za watu, na ni watu wenye akili wanajua wanachofanya.Comrade kiroho safi kabisa! kama kuna posho huko niunge pls
Ishi humo mdogo wangu.Mimi Sina connection yoyote na ccm, ila tuu nimevutiwa jinsi wanavyojua kucheza na akili za watu, na ni watu wenye akili wanajua wanachofanya.