mkomatembo
JF-Expert Member
- Dec 17, 2011
- 1,477
- 819
Kwamba Mke mzuri anatoka kwa 'bwana'Hongera sana kwa kuoa, huyu kijana ana bahati sana, ameoa mwanamke mwenye uzoefu kwenye ndoa, na mwenye watoto wa kutosha. uzoefu unahitajika kila mahali siyo kazini tu.
Niliona "siledi" hapa hapa JF kuwa mama yake MOndi amempenda Mabeto, anataka awe mke wa mwanae, hahahahahahaYule wa kuzalishwa,wa kuolewa wapo wengine.teh teh teh
Siyo mchezo hiyo kitu iko timamu, ila mke mwema hatoki kwa"Bwana" mwingine kama unavyokusudia ila kwa Mungu
[emoji106]Mtume SAW alisema, Ndoa ni katika sunna yake ! na ni sunna ya lazima na asieoa SI KATIKA MIMI !!! Kama kweli Diamond ameamua kuoa basi hongera kwake japo amefanya zinaa sana sana! LOh! atubu kwa Mola wake na asifanye tena Zinaa! Maana alikuwa akiifanya zinaa waziwazi !
Mmmh yani ngoma tu watu waoane ...jaman utadhani sjui nyimbo haitapita vilee wakat soon tu itaputa kama zngne zilivopitaSEDUCE ME.
Hii ngoma imesababisha watu kuoana dadeq
Hawajapendana haonina ndugu zangu wameishi more than 20yrs wana familia ila kufunga ndoa hwataki kusikia sasa najiuliza ivi tatizo ni nini
Hii nyimbo ni kama neno la Mungu haitapitaMmmh yani ngoma tu watu waoane ...jaman utadhani sjui nyimbo haitapita vilee wakat soon tu itaputa kama zngne zilivopita
Sent using Jamii Forums mobile app
Atamuoa na yeye si bado watatuNiliona "siledi" hapa hapa JF kuwa mama yake MOndi amempenda Mabeto, anataka awe mke wa mwanae, hahahahahaha