Leo ni ndoa ya Diamond na Zari?

Leo ni ndoa ya Diamond na Zari?

Mtume SAW alisema, Ndoa ni katika sunna yake ! na ni sunna ya lazima na asieoa SI KATIKA MIMI !!! Kama kweli Diamond ameamua kuoa basi hongera kwake japo amefanya zinaa sana sana! LOh! atubu kwa Mola wake na asifanye tena Zinaa! Maana alikuwa akiifanya zinaa waziwazi !
 
[emoji106]

-Ndumilakuwili-
 
Hakuna ndoa hapo,hii ni kiki ya video ya Mondi ya harusi
 
Ameamua kuoa [HASHTAG]#zilipendwa[/HASHTAG]
 
Anaolewa au wanacheza video ya wimbo?
Anaolewaje nyumbani kwa diamond?
Mwanamke wa kiislam najua ndoa ni kwao, [emoji3][emoji3]
Wazazi ndugu wapo wapi[emoji108][emoji108][emoji108]
WAPAMBANE TUU NA HALI ZAO HAMNA KIKI HAPA.
BTW hata akiolewa kuna mke wa 2 wa 3 hadi wa 4 labda ajivunie kuwa bi mkubwa
 
Back
Top Bottom