Leo ni ndoa ya Diamond na Zari?

Sasa unawapangia maisha au?
Acha hizo bana.. naona una mwendo wa wivu.com
 
SEDUCE ME.

Hii ngoma imesababisha watu kuoana dadeq

Hakuna ndoa hapo,hii ni kiki ya video ya Mondi ya harusi
Mna mambo yakizamani sana, mnajua ndoa nyie, unafikiri mtu kirahisi rahisi tu anaweza kuamua kufanga ndoa kisa ujinga unaoendelea huko.

Hongera bwana na Bi harusi, ndoa yenye heri kwao, ila kuna watu wana bahati ya ndoa mweeh!
 
Teh kwani vipi Bi. Mdogo? Nakusalimia tu....
 
Teh Teh hili fungu lote la nyanya kisa umesikia kuna ndoa ya Diamond na Zari?
 
Hongera sana kwa kuoa, huyu kijana ana bahati sana, ameoa mwanamke mwenye uzoefu kwenye ndoa, na mwenye watoto wa kutosha. uzoefu unahitajika kila mahali siyo kazini tu.
Kweli aysee!!!! Kuliko kuoa halafu unaanza kutafuta watoto bora huyo mwenye watoto kabisa. Kakurahisishia, sana. Kwahiyo jamaa sasa atakuwa na watoto kibao
 
Mna mambo yakizamani sana, mnajua ndoa nyie, unafikiri mtu kirahisi rahisi tu anaweza kuamua kufanga ndoa kisa ujinga unaoendelea huko.

Hongera bwana na Bi harusi, ndoa yenye heri kwao, ila kuna watu wana bahati ya ndoa mweeh!
Ngoma imeshanya watu wazidishe upendo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…