Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mobeto atalimia menoDiamond akifa mali inabaki ya watoto wao chini ya usimamizi wa Zari ama Kweli tulipotoka ni gharama kwa wanaume!!!
Anaolewa au wanacheza video ya wimbo?
Anaolewaje nyumbani kwa diamond?
Mwanamke wa kiislam najua ndoa ni kwao, [emoji3][emoji3]
Wazazi ndugu wapo wapi[emoji108][emoji108][emoji108]
WAPAMBANE TUU NA HALI ZAO HAMNA KIKI HAPA.
BTW hata akiolewa kuna mke wa 2 wa 3 hadi wa 4 labda ajivunie kuwa bi mkubwa
SEDUCE ME.
Hii ngoma imesababisha watu kuoana dadeq
Mna mambo yakizamani sana, mnajua ndoa nyie, unafikiri mtu kirahisi rahisi tu anaweza kuamua kufanga ndoa kisa ujinga unaoendelea huko.Hakuna ndoa hapo,hii ni kiki ya video ya Mondi ya harusi
Teh kwani vipi Bi. Mdogo? Nakusalimia tu....Anaolewa au wanacheza video ya wimbo?
Anaolewaje nyumbani kwa diamond?
Mwanamke wa kiislam najua ndoa ni kwao, [emoji3][emoji3]
Wazazi ndugu wapo wapi[emoji108][emoji108][emoji108]
WAPAMBANE TUU NA HALI ZAO HAMNA KIKI HAPA.
BTW hata akiolewa kuna mke wa 2 wa 3 hadi wa 4 labda ajivunie kuwa bi mkubwa
Na zari akifa? Mawazo ya kibinafsi hayo.. Btw wanaweza kufariki watoto wote wakabaki wazazi.Diamond akifa mali inabaki ya watoto wao chini ya usimamizi wa Zari ama Kweli tulipotoka ni gharama kwa wanaume!!!
Teh Teh hili fungu lote la nyanya kisa umesikia kuna ndoa ya Diamond na Zari?Anaolewa au wanacheza video ya wimbo?
Anaolewaje nyumbani kwa diamond?
Mwanamke wa kiislam najua ndoa ni kwao, [emoji3][emoji3]
Wazazi ndugu wapo wapi[emoji108][emoji108][emoji108]
WAPAMBANE TUU NA HALI ZAO HAMNA KIKI HAPA.
BTW hata akiolewa kuna mke wa 2 wa 3 hadi wa 4 labda ajivunie kuwa bi mkubwa
Iyo tecno wereva nn
blame no body
Kweli aysee!!!! Kuliko kuoa halafu unaanza kutafuta watoto bora huyo mwenye watoto kabisa. Kakurahisishia, sana. Kwahiyo jamaa sasa atakuwa na watoto kibaoHongera sana kwa kuoa, huyu kijana ana bahati sana, ameoa mwanamke mwenye uzoefu kwenye ndoa, na mwenye watoto wa kutosha. uzoefu unahitajika kila mahali siyo kazini tu.
Duh!!!Chaijaba mbona simuoni? wamemficha kama mwali?
Itafunguka wanauhakika.nina ndugu zangu wameishi more than 20yrs wana familia ila kufunga ndoa hwataki kusikia sasa najiuliza ivi tatizo ni nini
Vipi mzee wa busara, mbona unaguna!?Duh!!!
-Ndumilakuwili-
Yule mama naye sometimes sio!Niliona "siledi" hapa hapa JF kuwa mama yake MOndi amempenda Mabeto, anataka awe mke wa mwanae, hahahahahaha
Ngoma imeshanya watu wazidishe upendoMna mambo yakizamani sana, mnajua ndoa nyie, unafikiri mtu kirahisi rahisi tu anaweza kuamua kufanga ndoa kisa ujinga unaoendelea huko.
Hongera bwana na Bi harusi, ndoa yenye heri kwao, ila kuna watu wana bahati ya ndoa mweeh!
Atakua ni wakuzalishwa wakuolewa ni wengine,bilashaka siyo kila mwanamke anayewezakuzaa anaweza kua mke..,wengine ni kuzakishwa tu tena wanaona sifa kweli tofauti na zamani mtu akizalishwa anaona aibu leo hii ni furaha.Mobeto