Leo ni ndoa ya Diamond na Zari?

Leo ni ndoa ya Diamond na Zari?

Hongera sana kwa kuoa, huyu kijana ana bahati sana, ameoa mwanamke mwenye uzoefu kwenye ndoa, na mwenye watoto wa kutosha. uzoefu unahitajika kila mahali siyo kazini tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Psalm 133:1[emoji768] "Behold, how good and how pleasant it is for brethren to dwell together in unity."
 
Huyu mgengesha besela ameamua kuzaa watoto wa mwenzie?

An ant on the move does more than a dozing ox.
 
Hongera sana kwa kuoa, huyu kijana ana bahati sana, ameoa mwanamke mwenye uzoefu kwenye ndoa, na mwenye watoto wa kutosha. uzoefu unahitajika kila mahali siyo kazini tu.
kwamba mke tyr ana experience hana haja ya kufundishwa majukum yake daah nimecheka mno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha waoane wakapambane na hali zao..ila Zari ana bahati mno na ubibi gagula wake wote katusua ndoa ya pili heheee! mjini siami ng'oo hata kwa greda..
 
Back
Top Bottom