#COVID19 Leo ni siku ya 23 tangu nipone au kupata nafuu na ugonjwa wa Covid-19

Nimekwambia hivi ni wewe ndio ulianza kwa kuhitimisha kuwa huyo jamaa hawezi kuja kupona tena corona kirahisi kwa kutumia Asprin kwa hizi variants zengine kama Delta,sasa hapo nani alianza?
 
Mkuu pole kwa majanga umenikumbusha mbali kidogo.

Mimi sikuwahi kupata corona Ila familia yangu yote ilipata corona ile ya pili. Mke, watoto 3, mama mkwe, Binti wa kazi yaan wote.

Mke wangu ni mtumishi pale Aghakan hospital, yeye ndiye aliye ambukiza familia maana ndiye alinza dalili kwa madai yake..

Wakati wanaugua mm nilikuwa safarin akanipigia cm na kuniambia familia mzima iko karantini. Mkuu bahat mbaya mm nilijua wenye corona wanakufa wote hivyo nilijua familia mzima nitazika.

Babaaa, ukisikia mtu kuomba Mungu jaman niliomba, nilitubu dhambi zote , nikarudi dar na kukuta nyumba nzma, nikukooa, kubanwa kifua, nilikuwa natembea nalia njian, mke wangu alinitaka nikalale guest nisije nyumban kabisa kwa lengo tusife wote. maana nyumba nzma Ina virus.

Kiufupi walipona wote. Nilijifunza Sana kwamba Mungu anajibu maombi watu wakiomba. Pole mkuu. Corona ipo tuchukue taadhar Wana JF
 
Aliyewaambukiza nyie wa kiume humo ndani anaweza kuwa beki3😉
 
Nimekwambia hivi ni wewe ndio ulianza kwa kuhitimisha kuwa huyo jamaa hawezi kuja kupona tena corona kirahisi kwa kutumia Asprin kwa hizi variants zengine kama Delta,sasa hapo nani alianza?
Mimi nilichokuwa namaanisha ni kwamba kwa kuwa Asprin ina uwezo mdogo sana wa kustimulate kinga ya mwili hata kama ilitokea amepona kwa sababu ametumia mchanganyiko wa Asprin na hizo dawa nyingine haitakuwa rahisi kupona kwa variant nyingine kwa sababu zina nguvu zaidi.Ila wewe ulihitimisha moja kwa moja kuwa alipona kwa sababu ya dawa alizotumia ndipo nikakuuliza kuwa umejuaje kuwa kilichomponesha ni dawa alizotumia?

Mimi sikuhitimisha moja kwa moja kuwa amepona kwa sababu ya Asprin bali niliongea kwa probability.
 
Ujumbe ni mzuri, lakini kichwa cha habari kinanitatiza. Sielewi aliye andika haya ni reporter kuhusu kijana aliyepata uviko ama ni mgonjwa mwenyewe anaongea? Na je kama yeye na familia yake wote walipona , huko kujinyonga kumekujaje?
Ilimpiga mpaka kwenye ubongo, hajapona vizuri maeneo hayo
 
Na mimi nilikuwa nazungumzia huo uwezekano wa hiyo Asprin pamoja na hayo madawa mengine kuwa na msaada kwa mwenye kuumwa corona na si kwamba nilihitimisha kuwa huyo jamaa kilichomponesha hasa ni hizo dawa ndio maana uliponiuliza kama nina uhakika ya kwamba huyo jamaa kapona corona kwa sababu ya asprin na si kwamba ni kwa kinga zake tu za mwili? nikajibu mimi hilo siwezi kujua muhimu ni hizo dawa kuwa na uwezo wa kumsaidia mgonjwa wa corona.
 
Hukuwa unazungumzia uwezekano bali ulihitimisha kuwa dawa zimemponya jamaa na ushahidi wa wazi kabisa huu hapa👇
 

Kuna wengine niliwahi kukutana nao wanasema waliwahi kupata hali hiyo 2013.

Wanaamini Corona ilikuwapo hata kabla ya 2013 na mtu hawatoi kwenye imani hiyo.

Hiiiiii bagosha!
 
Hukuwa unazungumzia uwezekano bali ulihitimisha kuwa dawa zimemponya jamaa na ushahidi wa wazi kabisa huu hapa👇
View attachment 1912617
Sasa hapo hujaelewa kipi? jamaa kasema kapona na hayo madawa aliyoyataja ndio kasena kayatumia, sasa ulitaka niseme vp?
Hayo ndio madawa yaliyomsaidia maana hakuna dawa ya moja kwa moja ya corona hivyo katumia hizo dawa zimemsaidia na hata wewe unakubali kuwa asprin inasaidia kidogo na ndio maana wanaongeza na madawa mengine.

Bado nazungumzia uwezekano maana sina uhakika hata kama huyo jamaa ameumwa kweli corona ila muhimu ni hayo madawa.
 
Mama Mwingira alipigwa na wimbi la pili ilipokuja delta wimbi la tatu likammalizia.Akili kichwani mwako pata chanjo au endelea kumsikiliza Gwajima
Chanjo inatukinga na wimbi la ngapi?!
Je, inatukinga na wimbi lijalo pia eh?!;!
 
Kwani Asprin ndio iliyopambana na virusi vya corona au ni kinga zake za mwili?

Alikua na haja gani kama Asprin Junior hazikutumika kuondoa uwezekano wa migando ya damu?
Tuache kupotosha kwa kujifanya wajuzi kumbe Bure kabisa.
 
Alikua na haja gani kama Asprin Junior hazikutumika kuondoa uwezekano wa migando ya damu?
Tuache kupotosha kwa kujifanya wajuzi kumbe Bure kabisa.
Sijakuelewa mkuu.
 
Ukiwa unaumwa unawezaje kuchanja Mkuu hiyo commando TU Ina homa ya hatari uongezee na ya kutobolewa mkuu ngoja ultupate UFAFANUZI kwa hili kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…