Leo ni siku ya aibu sana kwa Utawala wa Hayati Magufuli baada ya Sabaya kukiri alikuwa akitumwa kutekeleza uovu

Aseme Sasa Ben sanane Azory gwanda wapo wapi atuonyeshe hata makaburi yao yalipo
 
JPM alikuwa ni muuaji
 
Gaidi na team yake wanamuogopa sana Sabaya.
Kesha kiri kuwa yeye ni jambazi, aliongoza magenge ya uhalifu, alitumia madaraka vibaya nk kisha amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja (nje), sasa nani amuogope tena?
Huyu hata kama wananchi sasa wakiamua kuchukua sheria mkononi na kumtwanga mawe ni sawa tuu maana majambazi wengine mtaani wanamalizana nao tuu kisha serikali inatangaza wananchi wenye hasira kali wanetekeleza.
 
Sabaya alikua DC wa Wilaya gani huko Arusha???
 
Ngoja tuone walinda legacy kulwa jilala, etwege, magonjwa mtambuka, countrywide, ussr,na kiongoz wao johnthebaptist wanasemaje!!
 
Nyinyi wengine mnafikiria ubaya kwa matako na matumbo si kwa kichwa. Kuna watu wanafanya ubaya ambao kwa sababu mnafikiria namna hiyo hamuwezi kuelewa. Waacheni sasa wanaofanya ubaya ambao hamuwezi kuuona waendelee huku mkiwasifia na kuwaimbia mapambio
 
Kwani Hayati Magufuli mwenyewe anasemaje baada ya sabya kukiri makosa?
 
AWAMU YA TANO, ULIKUWA NI UTAWALA WA OVYO KUPATA KUTOKEA, SEREKALI SAFI, HAIKUPASWA KUWA NA MAGENGE YA UTESAJI, UNYANGANYI, WIZI, UBADHIRIFU, UTOROSHAJI FEDHA, NA YA HOVYO YA AINA HIYO!.
 
Hata iwe vip mambo aliyoyafanya Mwamba kwa kipindi alichokua madarakani si ya kubeza hata kidogo. Wazee wa deal walikatwa mikia na ndio hao hao wanaolalamika kila siku kuwa mwamba alikua katili.

Hakuna maendeleo bila chembe za ukali kwenye utawala. Leo hii malkia anawarembulia jicho wapiga deal halafu kuna wajuba wanampa kongole
 

Angeheshimu uchaguzi ili tuone kwa uhalisia kiwango cha kukubalika kwake. Sasa unasema wananchi walimkubali, ila ilipofika kipimo halisi cha kukubalika kwake ambao ni uchaguzi, akaishia kuuvuruga! Hapo bro inabidi upime unachoongea.
 

Kama ingekuwa maendeleo yanaletwa na ukatili, basi ilibidi bara la Afrika ndio liwe na maendeleo sana, maana ukatili huku ndio sifa kuu.
 
Unateseka ukiwa wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…