Yimakatso
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 7,060
- 9,468
Mkuu jambazi huogopwa hadi na polisi kutegemeana na misheni za ujambazi anazofanya.Gaidi na team yake wanamuogopa sana Sabaya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu jambazi huogopwa hadi na polisi kutegemeana na misheni za ujambazi anazofanya.Gaidi na team yake wanamuogopa sana Sabaya.
Aseme Sasa Ben sanane Azory gwanda wapo wapi atuonyeshe hata makaburi yao yalipoSabaya alikuwa anatamba kwamba misheni zake alikuwa anatumwa na jiwe. Leo amekiri, kwa hakika ni siku ya aibu sana kwa utawala wa JPM.
Mimi kama mfuasi wa Jiwe, Leo nimekuwa na siku mbaya sana baada ya Sabaya kukiri uhalifu mbele ya mahakama. Alikuwa anafanya uhalifu na kikosi kazi kwa Kibali Cha JPM
JPM alikuwa ni muuajiSabaya alikuwa anatamba kwamba misheni zake alikuwa anatumwa na jiwe. Leo amekiri, kwa hakika ni siku ya aibu sana kwa utawala wa JPM.
Mimi kama mfuasi wa Jiwe, Leo nimekuwa na siku mbaya sana baada ya Sabaya kukiri uhalifu mbele ya mahakama. Alikuwa anafanya uhalifu na kikosi kazi kwa Kibali Cha JPM
Kesha kiri kuwa yeye ni jambazi, aliongoza magenge ya uhalifu, alitumia madaraka vibaya nk kisha amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja (nje), sasa nani amuogope tena?Gaidi na team yake wanamuogopa sana Sabaya.
Acha uongo mkuu.Kwani mkuu ilihitaji PhD kujua hilo na alipata nguvu zaidi baada ya kufanikiwa mchomoa (gaidi) mboe kwenye kiti cha ubunge
Sabaya alikua DC wa Wilaya gani huko Arusha???Sidhani kama alikuwa atamba bali ni kutoeleweka kwa missions alokuwa akiagizwa kama DC azifanye.
Ndo maana alisema mahakamani kwamba hayati JPM, makamu wa raisi wa sasa na gavana wa BOT wote walikuwa wakifahamu missions hizo ambazo nyingi zilikuwa ni za kusaka mashine za kuchapisha pesa chafu ambazo zilikuwa zikitumiwa na baadhi ya watu ambao nao walikuwa na connections na maduka bandia ya kubadilisha fedha.
Kwa mfano kuna "mission" moja kule Chanika wilayani Temeke ambako Sabaya na vijana wengine wa kikosi kazi walikamata mashine na fedha kiasi cha shilingi milioni 800! kutoka sehemu moja tu.
Sasa weye niambie nchi yote hii mashine hizo zitakuwa ngapi watu wachapa tu fedha bandia na kuzitumbukiza kuzisafisha kwenye baadhi ya maduka ya kubadili fedha ambayo ni bandia?
Kwa kuwa Sabaya alikuwa na uwezo wa kuzitekeleza kazi hizo kwa ufanisi hayati JPM ndo akampa kazi ya DC kule Arusha na baadae Hai.
Kazi ya kurekebisha na kutengeneza uchumi wa nchi hii yakata kuwa makini sana na werevu wa hali ya juu maana uchumi wa Tanzania wanoufahamu kwa undani ni serikali na CCM wenyewe.
Hivyo, kitendo chochote cha kuingia na gia namba 6 wakati gia namba 1 hadi 5 zipo ili kufanya ufundi wowote yabidi kutumia akili sana.
Sabaya alikuwa anatamba kwamba misheni zake alikuwa anatumwa na jiwe. Leo amekiri, kwa hakika ni siku ya aibu sana kwa utawala wa JPM.
Mimi kama mfuasi wa Jiwe, Leo nimekuwa na siku mbaya sana baada ya Sabaya kukiri uhalifu mbele ya mahakama. Alikuwa anafanya uhalifu na kikosi kazi kwa Kibali Cha JPM
Nyinyi wengine mnafikiria ubaya kwa matako na matumbo si kwa kichwa. Kuna watu wanafanya ubaya ambao kwa sababu mnafikiria namna hiyo hamuwezi kuelewa. Waacheni sasa wanaofanya ubaya ambao hamuwezi kuuona waendelee huku mkiwasifia na kuwaimbia mapambioSabaya alikuwa anatamba kwamba misheni zake alikuwa anatumwa na jiwe. Leo amekiri, kwa hakika ni siku ya aibu sana kwa utawala wa JPM.
Mimi kama mfuasi wa Jiwe, Leo nimekuwa na siku mbaya sana baada ya Sabaya kukiri uhalifu mbele ya mahakama. Alikuwa anafanya uhalifu na kikosi kazi kwa Kibali Cha JPM
Hii Dunia Ina maficho ya uharifu mengi mno.daaaNyinyi wengine mnafikiria ubaya kwa matako na matumbo si kwa kichwa. Kuna watu wanafanya ubaya ambao kwa sababu mnafikiria namna hiyo hamuwezi kuelewa. Waacheni sasa wanaofanya ubaya ambao hamuwezi kuuona waendelee huku mkiwasifia na kuwaimbia mapambio
Kwani Hayati Magufuli mwenyewe anasemaje baada ya sabya kukiri makosa?Sabaya alikuwa anatamba kwamba misheni zake alikuwa anatumwa na jiwe. Leo amekiri, kwa hakika ni siku ya aibu sana kwa utawala wa JPM.
Mimi kama mfuasi wa Jiwe, Leo nimekuwa na siku mbaya sana baada ya Sabaya kukiri uhalifu mbele ya mahakama. Alikuwa anafanya uhalifu na kikosi kazi kwa Kibali Cha JPM
‘Chema chajiuza, kibaya chajitembeza’
Uongo kwa Magufuli ata urudiwe vipi, watanzania wameukataa. Wanamjua vyema nyakati za uhai wake alikuwa anasimamia nini kwa maslahi mapana ya watanzania wote.
Magufuli ni brand inayojiuza yenyewe kwa sasa, baada ya miaka miwili ni muda wa kukubali matokeo watanzania awanunui hizo hadithi za udhalimu.
Hata iwe vip mambo aliyoyafanya Mwamba kwa kipindi alichokua madarakani si ya kubeza hata kidogo. Wazee wa deal walikatwa mikia na ndio hao hao wanaolalamika kila siku kuwa mwamba alikua katili.
Hakuna maendeleo bila chembe za ukali kwenye utawala. Leo hii malkia anawarembulia jicho wapiga deal halafu kuna wajuba wanampa kongole
Hakuwa DC ila yasemwa katika maeneo alotumwa Arusha ilikuwemo.Sabaya alikua DC wa Wilaya gani huko Arusha???
Unateseka ukiwa wapi?Kesha kiri kuwa yeye ni jambazi, aliongoza magenge ya uhalifu, alitumia madaraka vibaya nk kisha amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja (nje), sasa nani amuogope tena?
Huyu hata kama wananchi sasa wakiamua kuchukua sheria mkononi na kumtwanga mawe ni sawa tuu maana majambazi wengine mtaani wanamalizana nao tuu kisha serikali inatangaza wananchi wenye hasira kali wanetekeleza.
Gaidi mavi yanagonga boxer!Mkuu jambazi huogopwa hadi na polisi kutegemeana na misheni za ujambazi anazofanya.