Bora ukaebda kumpelekea taarifa hizi mbaya kwako ajue aliyoyatenda.Sabaya alikuwa anatamba kwamba misheni zake alikuwa anatumwa na jiwe. Leo amekiri, kwa hakika ni siku ya aibu sana kwa utawala wa Hayati Magufuli.
Mimi kama mfuasi wa Jiwe, Leo nimekuwa na siku mbaya sana baada ya Sabaya kukiri uhalifu mbele ya mahakama. Alikuwa anafanya uhalifu na kikosi kazi kwa Kibali Cha JPM
Sijawahi kuwa mfuasi wa Sabaya, na siwezi shangaa chochote atakachosema ili kuupata uhuru wake kutokana na mazingira yake.Sabaya amesema alikua anatumwa na magu FULL Kwa hyo we mpwayungu unataka kusemaje labda. Hoja inapingwa Kwa hoja! Hutaki nenda kampige sabaya! Nyie si ndo mlikua wafuasi wa sabaya.
LEO HUYOHUYO SABAYA WENU AMEWAPIGA KWENYE MSHONO
Aibu gani. Kuwafuatilia fisadi na ukwepaji kodi ndio aibu?Sabaya alikuwa anatamba kwamba misheni zake alikuwa anatumwa na jiwe. Leo amekiri, kwa hakika ni siku ya aibu sana kwa utawala wa Hayati Magufuli.
Mimi kama mfuasi wa Jiwe, Leo nimekuwa na siku mbaya sana baada ya Sabaya kukiri uhalifu mbele ya mahakama. Alikuwa anafanya uhalifu na kikosi kazi kwa Kibali Cha JPM
Magufuli ni Magufuli!Kwani Magufuli ni nani?!
Hiyo inawezekana 100% !!Sijawahi kuwa mfuasi wa Sabaya, na siwezi shangaa chochote atakachosema ili kuupata uhuru wake kutokana na mazingira yake.
Ukizingatia serikali iliyopo madarakani inatumia nguvu nyingi sana kumchafua Magufuli, si ajabu akaambiwa cha kusema ili apewe uhuru wake.
Unahukumiwa. Ila unaweza kupunguziwa pia adhabu, kama alivyofanyiwa Sabaya. Atatumikia kifungo cha nje miezi 12.Hivi ukikiri mahakaman unaachiwa au unahukumiwa?
Fanyeni kazi mashamba yapo Tanzania ardhi imejaa tele,Lima Mkulima lima,lima tupate ulaji,Fanyeni kazi shambani,mwisho mtapata mali,Mtaji wa maskini ni nguvu zake mwenyewe.Uhalifu unaofanywa na awamu ya sita ni mbaya zaidi kuliko kipindi cha sabaya maana kwa sasa wtz wengi wanakufa kwa njaa inayotokana na kupandisha bei ya vyakula hovyohovyo akisaidiwa ba chawa wake
MAGUFULI ALIKUWA RAIS ASIYE NA HOFU ya MUNGU Alistahiri Kuondoka Duniani Mapema vinginevyo Angewateketeza Watanzania wengiSabaya alikuwa anatamba kwamba misheni zake alikuwa anatumwa na jiwe. Leo amekiri, kwa hakika ni siku ya aibu sana kwa utawala wa Hayati Magufuli.
Mimi kama mfuasi wa Jiwe, Leo nimekuwa na siku mbaya sana baada ya Sabaya kukiri uhalifu mbele ya mahakama. Alikuwa anafanya uhalifu na kikosi kazi kwa Kibali Cha JPM
Labda Chato na Sukuma gang.Late JPM, ataendelea kuwa Rais bora kabisa kuwahi kutokea hapa Africa.
Mama yake Eric Kabendera alifariki kwa sababu ya Jpm.Ukiambiwa uwataje utatuletea hadithi za viroba ufukweni.
Muuaji gani wa kisiasa duniani anauwa raia wasio na hatia kwakwe. If anything ma dictator wao ungaika na wanasiasa ambao tishio kwao au vyombo vya habari.
Hakuna hizo familia zilizopoteza watu kwa amri ya Magufuli; with exception to Tundu Lissu (ambae alikuwa anaingilia Issue za national interest), Eric Kabendera ambae alikuwa akilipwa na mabeberu kuichafua serikali.
Mengine hadithi tu na kama yalikuwa yakifanyika sio kwa ridhaa yake, ata leo ukimzingua Bi Tozo kuna watu watakuzingua na si ajabu ukapoteza maisha bila ya yeye kujua wala kuwatuma; akabaki kushangwaza tu kama mtu mwingine be it lawama atatupiwa yeye.
Kaachiwa ili kulinda maslahi ya Serikali ya ccm.Wahalifu walikuwa wengi sana kama vile Magufuri,Job Ndugai,Makonda,Mnyeti,Sabaya,Homera,Mrisho Gambo,Humphrey Polepole,Cyprian Musiba,Heri James, nk.Kwa nini afungwe Sabaya peke yake wake wahalifu kibao ccm wanadunda mitaani.Mapuzi hayajui huyu anakatia rufaa mwenendo wa kesi kisha anashinda na sio ameshinda kwa kuthibitika hakutenda uovu anaoshitakiwa nao!!
"Vipepo vyote vinavyosumbua huwa vimetumwa"
Haya siyo mapya. Toka mwanzo, aliposema kuwa hata Makamu wa Rais alikuwa anajua, alitamka kuwa yote aliyokuwa akiyafanya alikuwa anatumwa.Sijawahi kuwa mfuasi wa Sabaya, na siwezi shangaa chochote atakachosema ili kuupata uhuru wake kutokana na mazingira yake.
Ukizingatia serikali iliyopo madarakani inatumia nguvu nyingi sana kumchafua Magufuli, si ajabu akaambiwa cha kusema ili apewe uhuru wake.
binadamu unakuwaje mfuasi wa binadamu mwenzako anayekula na kunya kama wewe?Sabaya alikuwa anatamba kwamba misheni zake alikuwa anatumwa na jiwe. Leo amekiri, kwa hakika ni siku ya aibu sana kwa utawala wa Hayati Magufuli.
Mimi kama mfuasi wa Jiwe, Leo nimekuwa na siku mbaya sana baada ya Sabaya kukiri uhalifu mbele ya mahakama. Alikuwa anafanya uhalifu na kikosi kazi kwa Kibali Cha JPM
umepiga penyewe na kulikuwa wapuuzi wapiga filimbi kama Jerry Muro na wasanii wa bongo movie na bongo flavaKaachiwa ili kulinda maslahi ya Serikali ya ccm.Wahalifu walikuwa wengi sana kama vile Magufuri,Job Ndugai,Makonda,Mnyeti,Sabaya,Homera,Mrisho Gambo,Humphrey Polepole,Cyprian Musiba,Heri James, nk.Kwa nini afungwe Sabaya peke yake wake wahalifu kibao ccm wanadunda mitaani.
Unahukumiwa. Ila unaweza kupunguziwa pia adhabu, kama alivyofanyiwa Sabaya. Atatumikia kifungo cha nje miezi 12.
Mkuu ni wewe kweli umeandikaJPM aliajiri vijana wengi sana nchi zima na wengi bado wako kwenye baraza la mawaziri na taasisi zake Sabaya ni mmoja tu , mawaziri wa mkapa waliishia jela , subiri 2030 uone huu uozo.
USSR
Heri umekuwa mwungwana kukubali ushahidi wa Sabaya na kukiri mahakamani, kuwa Legacy ya Magufuli ilijaa wizi, uonevu uuaji, ujambazi na matumizi mabaya ya madaraka.Sabaya alikuwa anatamba kwamba misheni zake alikuwa anatumwa na jiwe. Leo amekiri, kwa hakika ni siku ya aibu sana kwa utawala wa Hayati Magufuli.
Mimi kama mfuasi wa Jiwe, Leo nimekuwa na siku mbaya sana baada ya Sabaya kukiri uhalifu mbele ya mahakama. Alikuwa anafanya uhalifu na kikosi kazi kwa Kibali Cha JPM
Ni watz wangapi wamekufa kwa njaa hadi sasa?Uhalifu unaofanywa na awamu ya sita ni mbaya zaidi kuliko kipindi cha sabaya maana kwa sasa wtz wengi wanakufa kwa njaa inayotokana na kupandisha bei ya vyakula hovyohovyo akisaidiwa ba chawa wake