Leo ni siku ya aibu sana kwa Utawala wa Hayati Magufuli baada ya Sabaya kukiri alikuwa akitumwa kutekeleza uovu

Leo ni siku ya aibu sana kwa Utawala wa Hayati Magufuli baada ya Sabaya kukiri alikuwa akitumwa kutekeleza uovu

Sabaya alikuwa anatamba kwamba misheni zake alikuwa anatumwa na jiwe. Leo amekiri, kwa hakika ni siku ya aibu sana kwa utawala wa Hayati Magufuli.

Mimi kama mfuasi wa Jiwe, Leo nimekuwa na siku mbaya sana baada ya Sabaya kukiri uhalifu mbele ya mahakama. Alikuwa anafanya uhalifu na kikosi kazi kwa Kibali Cha JPM
Bora ukaebda kumpelekea taarifa hizi mbaya kwako ajue aliyoyatenda.
Bado Cyprian Musiba ajitokeze aseme kabla hayajamkuta.
 
Sabaya amesema alikua anatumwa na magu FULL Kwa hyo we mpwayungu unataka kusemaje labda. Hoja inapingwa Kwa hoja! Hutaki nenda kampige sabaya! Nyie si ndo mlikua wafuasi wa sabaya.

LEO HUYOHUYO SABAYA WENU AMEWAPIGA KWENYE MSHONO
Sijawahi kuwa mfuasi wa Sabaya, na siwezi shangaa chochote atakachosema ili kuupata uhuru wake kutokana na mazingira yake.

Ukizingatia serikali iliyopo madarakani inatumia nguvu nyingi sana kumchafua Magufuli, si ajabu akaambiwa cha kusema ili apewe uhuru wake.
 
Sabaya alikuwa anatamba kwamba misheni zake alikuwa anatumwa na jiwe. Leo amekiri, kwa hakika ni siku ya aibu sana kwa utawala wa Hayati Magufuli.

Mimi kama mfuasi wa Jiwe, Leo nimekuwa na siku mbaya sana baada ya Sabaya kukiri uhalifu mbele ya mahakama. Alikuwa anafanya uhalifu na kikosi kazi kwa Kibali Cha JPM
Aibu gani. Kuwafuatilia fisadi na ukwepaji kodi ndio aibu?
Wewe unajua pyramid scheme iliyowatapeli waalimu mamilioni Hai? Unajua kiwanda cha kutengeneza gongo industrial scale hai halafu inasambazwa kwa bodaboda kilimanjaro na arusha kote? Unajua yule mtengenezaji ya fedha bandia na hatimae kujulikana kiwanda kiko dar. Wewe unawajua wadhulumu ardhi ya wanyonge hai ambao sabaya kawasaidia kupata haki. Je unajua hai ndio ilikua inaongoza kwa kupitisha madawa ya kulevya? Je unajua hai ndio ilikua ya mwisho tz kwa ukusanyaji kodi?
Hizo ni baadhi tu ya kazi alizofanya udhibiti wake hai sabaya
Wewe bila shaka utakua umezoea vya kunyonga hadi unaona ndio haki. Ndio inakupelekea kumuita mtu kama sabaya dhulumati.
 
  • Thanks
Reactions: Sax
Mwigulu amekiri madudu yaliyotajwa na CAG yameidhinishwa na bibi tozo.
 
Sijawahi kuwa mfuasi wa Sabaya, na siwezi shangaa chochote atakachosema ili kuupata uhuru wake kutokana na mazingira yake.

Ukizingatia serikali iliyopo madarakani inatumia nguvu nyingi sana kumchafua Magufuli, si ajabu akaambiwa cha kusema ili apewe uhuru wake.
Hiyo inawezekana 100% !!
 
Mahakamana zetu hazina uwezo wa kukupatia haki, walioumizwa wamalizane nae tu jiwe hayupo.
 
Uhalifu unaofanywa na awamu ya sita ni mbaya zaidi kuliko kipindi cha sabaya maana kwa sasa wtz wengi wanakufa kwa njaa inayotokana na kupandisha bei ya vyakula hovyohovyo akisaidiwa ba chawa wake
Fanyeni kazi mashamba yapo Tanzania ardhi imejaa tele,Lima Mkulima lima,lima tupate ulaji,Fanyeni kazi shambani,mwisho mtapata mali,Mtaji wa maskini ni nguvu zake mwenyewe.
 
Sabaya alikuwa anatamba kwamba misheni zake alikuwa anatumwa na jiwe. Leo amekiri, kwa hakika ni siku ya aibu sana kwa utawala wa Hayati Magufuli.

Mimi kama mfuasi wa Jiwe, Leo nimekuwa na siku mbaya sana baada ya Sabaya kukiri uhalifu mbele ya mahakama. Alikuwa anafanya uhalifu na kikosi kazi kwa Kibali Cha JPM
MAGUFULI ALIKUWA RAIS ASIYE NA HOFU ya MUNGU Alistahiri Kuondoka Duniani Mapema vinginevyo Angewateketeza Watanzania wengi
 
Ukiambiwa uwataje utatuletea hadithi za viroba ufukweni.

Muuaji gani wa kisiasa duniani anauwa raia wasio na hatia kwakwe. If anything ma dictator wao ungaika na wanasiasa ambao tishio kwao au vyombo vya habari.

Hakuna hizo familia zilizopoteza watu kwa amri ya Magufuli; with exception to Tundu Lissu (ambae alikuwa anaingilia Issue za national interest), Eric Kabendera ambae alikuwa akilipwa na mabeberu kuichafua serikali.

Mengine hadithi tu na kama yalikuwa yakifanyika sio kwa ridhaa yake, ata leo ukimzingua Bi Tozo kuna watu watakuzingua na si ajabu ukapoteza maisha bila ya yeye kujua wala kuwatuma; akabaki kushangwaza tu kama mtu mwingine be it lawama atatupiwa yeye.
Mama yake Eric Kabendera alifariki kwa sababu ya Jpm.
 
Mapuzi hayajui huyu anakatia rufaa mwenendo wa kesi kisha anashinda na sio ameshinda kwa kuthibitika hakutenda uovu anaoshitakiwa nao!!

"Vipepo vyote vinavyosumbua huwa vimetumwa"
Kaachiwa ili kulinda maslahi ya Serikali ya ccm.Wahalifu walikuwa wengi sana kama vile Magufuri,Job Ndugai,Makonda,Mnyeti,Sabaya,Homera,Mrisho Gambo,Humphrey Polepole,Cyprian Musiba,Heri James, nk.Kwa nini afungwe Sabaya peke yake wake wahalifu kibao ccm wanadunda mitaani.
 
Sijawahi kuwa mfuasi wa Sabaya, na siwezi shangaa chochote atakachosema ili kuupata uhuru wake kutokana na mazingira yake.

Ukizingatia serikali iliyopo madarakani inatumia nguvu nyingi sana kumchafua Magufuli, si ajabu akaambiwa cha kusema ili apewe uhuru wake.
Haya siyo mapya. Toka mwanzo, aliposema kuwa hata Makamu wa Rais alikuwa anajua, alitamka kuwa yote aliyokuwa akiyafanya alikuwa anatumwa.

Na kwa kweli ni ngumu sana ufanye ushetani wa kiwango kile cha Sabaya au Makonda, bila kuchukuliwa hatua, kama aliyekuteua hajabariki ushetani wako.

Na pia kwa kiongozi aliyemteua naye ni vigumu sana kuyakubali yale waliyokuwa wakitebda hawa watu wake bila kuwa na tatizo fulani. Imani yangu ni kuwa ugonjwa ule aliokuwa ameugua marehemu wakati akiwa Waziri, kuna wakati ulikuwa unamrudi. Walaumiwe zaidi viongozi wa chama walioruhusu mtu aliyewahi kuugua tatizo la afya ya akili kumpa madaraka ya mwisho katika nchi. Hata kama alikuwa declared kuwa amepona, alistahili kupewa nafasi ambayo angeweza kudhibitiwa.

Haya yote yamepita, tuwaombee walioumizwa moja kwa moja na utawala ule, na hasa familia za watu ambao ndugu zao waliuawa, kupotezwa, na wale pia walionusurika lakini wakatiwa ulemavu wa kudumu.
 
Sabaya alikuwa anatamba kwamba misheni zake alikuwa anatumwa na jiwe. Leo amekiri, kwa hakika ni siku ya aibu sana kwa utawala wa Hayati Magufuli.

Mimi kama mfuasi wa Jiwe, Leo nimekuwa na siku mbaya sana baada ya Sabaya kukiri uhalifu mbele ya mahakama. Alikuwa anafanya uhalifu na kikosi kazi kwa Kibali Cha JPM
binadamu unakuwaje mfuasi wa binadamu mwenzako anayekula na kunya kama wewe?
 
Kaachiwa ili kulinda maslahi ya Serikali ya ccm.Wahalifu walikuwa wengi sana kama vile Magufuri,Job Ndugai,Makonda,Mnyeti,Sabaya,Homera,Mrisho Gambo,Humphrey Polepole,Cyprian Musiba,Heri James, nk.Kwa nini afungwe Sabaya peke yake wake wahalifu kibao ccm wanadunda mitaani.
umepiga penyewe na kulikuwa wapuuzi wapiga filimbi kama Jerry Muro na wasanii wa bongo movie na bongo flava
 
Unahukumiwa. Ila unaweza kupunguziwa pia adhabu, kama alivyofanyiwa Sabaya. Atatumikia kifungo cha nje miezi 12.

Basi wa Tanzania wananyanyaswa sana nchi hii, magerezani kuna watu wanateseka sana bila sababu
 
JPM aliajiri vijana wengi sana nchi zima na wengi bado wako kwenye baraza la mawaziri na taasisi zake Sabaya ni mmoja tu , mawaziri wa mkapa waliishia jela , subiri 2030 uone huu uozo.

USSR
Mkuu ni wewe kweli umeandika
 
Sabaya alikuwa anatamba kwamba misheni zake alikuwa anatumwa na jiwe. Leo amekiri, kwa hakika ni siku ya aibu sana kwa utawala wa Hayati Magufuli.

Mimi kama mfuasi wa Jiwe, Leo nimekuwa na siku mbaya sana baada ya Sabaya kukiri uhalifu mbele ya mahakama. Alikuwa anafanya uhalifu na kikosi kazi kwa Kibali Cha JPM
Heri umekuwa mwungwana kukubali ushahidi wa Sabaya na kukiri mahakamani, kuwa Legacy ya Magufuli ilijaa wizi, uonevu uuaji, ujambazi na matumizi mabaya ya madaraka.
 
Back
Top Bottom