MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Hapana hiyo itakuwa ngumu... lazima tutafute hata mtoto mmoja. Au tutaasili mtoto wa atakayebahatika kuwa mchepuko wanguKhaaa!!!
Tuasili mtoto bhana.
Mie nishafika at the peak....πππππ
Umenena vyema kabisa, binadamu tunatofautiana kwenye personality traits. Na hii inani1fanya mimi niwe mimi na wewe uwe wewe.Kweli binadamu tunatofautiana, mimi toka nimejiunga Jf sijawahi hata kukwazana/kupishana kauli/ kugombana na ID yoyote kwa namna yoyote ile. Nikiona kitu hakinifurahishi nakaa tu pembeni
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Kitambo sana Madame B, you were missed a%lotUje Malaika wangu
π€£π€£π€£Labda mi sijui bwana
πππππ€£π€£π€£Labda mi sijui bwana
Cheka kama mazuri wakati mi ninenunaπππππ
Mkikataliwa mkubali tuππππ
Bwege kumbe ata ww anakukera. Namtaman sana kwenye Parling nimtie nakoHakuna mtu nnae mvumilia Kama Luka Mwashambwa huyu Anko ananikwaza Sana.
Umenuna nini sasa? πππCheka kama mazuri wakati mi ninenunaπ
ππππ ko ulimkataa maua?Mkikataliwa mkubali tu
Kwani bwawa la mtera limepungua maji Hadi kukusababishia matatizo ya upungufu wa megawati huko kichwani kwako sio?ππππUmenuna nini sasa? πππ
Unapenda ubuyu we mtoto π€£ππππ ko ulimkataa maua?
ππππ UmefikiwaKwani bwawa la mtera limepungua maji Hadi kukusababishia matatizo ya upungufu wa megawati huko kichwani kwako sio?ππππ
Kuuliza sio dhambi dada πππUnapenda ubuyu we mtoto π€£
Hiyo pole usielekeze kwangu!mi hanidanganyagiπ€£π€£π€£ππππ Umefikiwa
Pole mwaya
Akikujibu nistueπ€£π€£π€£Kuuliza sio dhambi dada πππ
Pole kwa mshtuko ππππHiyo pole usielekeze kwangu!mi hanidanganyagiπ€£π€£π€£
πππππAkikujibu nistueπ€£π€£π€£
Nikifunua kinywa changu mtalia bure.ππππ ko ulimkataa maua?