MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Hapana hiyo itakuwa ngumu... lazima tutafute hata mtoto mmoja. Au tutaasili mtoto wa atakayebahatika kuwa mchepuko wanguKhaaa!!!
Tuasili mtoto bhana.
Mie nishafika at the peak....🙁🙁🙁🙁🙁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana hiyo itakuwa ngumu... lazima tutafute hata mtoto mmoja. Au tutaasili mtoto wa atakayebahatika kuwa mchepuko wanguKhaaa!!!
Tuasili mtoto bhana.
Mie nishafika at the peak....🙁🙁🙁🙁🙁
Umenena vyema kabisa, binadamu tunatofautiana kwenye personality traits. Na hii inani1fanya mimi niwe mimi na wewe uwe wewe.Kweli binadamu tunatofautiana, mimi toka nimejiunga Jf sijawahi hata kukwazana/kupishana kauli/ kugombana na ID yoyote kwa namna yoyote ile. Nikiona kitu hakinifurahishi nakaa tu pembeni
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Kitambo sana Madame B, you were missed a%lotUje Malaika wangu
🤣🤣🤣Labda mi sijui bwana
😂😂😂😂🤣🤣🤣Labda mi sijui bwana
Cheka kama mazuri wakati mi ninenuna🙇😂😂😂😂
Mkikataliwa mkubali tu😂😂😂😂
Bwege kumbe ata ww anakukera. Namtaman sana kwenye Parling nimtie nakoHakuna mtu nnae mvumilia Kama Luka Mwashambwa huyu Anko ananikwaza Sana.
Umenuna nini sasa? 😂😂😂Cheka kama mazuri wakati mi ninenuna🙇
😂😂😂😂 ko ulimkataa maua?Mkikataliwa mkubali tu
Kwani bwawa la mtera limepungua maji Hadi kukusababishia matatizo ya upungufu wa megawati huko kichwani kwako sio?😂😂😂😂Umenuna nini sasa? 😂😂😂
Unapenda ubuyu we mtoto 🤣😂😂😂😂 ko ulimkataa maua?
😂😂😂😂 UmefikiwaKwani bwawa la mtera limepungua maji Hadi kukusababishia matatizo ya upungufu wa megawati huko kichwani kwako sio?😂😂😂😂
Kuuliza sio dhambi dada 😂😂😂Unapenda ubuyu we mtoto 🤣
Hiyo pole usielekeze kwangu!mi hanidanganyagi🤣🤣🤣😂😂😂😂 Umefikiwa
Pole mwaya
Akikujibu nistue🤣🤣🤣Kuuliza sio dhambi dada 😂😂😂
Pole kwa mshtuko 😂😂😂😂Hiyo pole usielekeze kwangu!mi hanidanganyagi🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂Akikujibu nistue🤣🤣🤣
Nikifunua kinywa changu mtalia bure.😂😂😂😂 ko ulimkataa maua?