Leo ni siku ya kuvumiliana duniani. Ni member gani humu umemvumilia vya kutosha sasa basi?

Leo ni siku ya kuvumiliana duniani. Ni member gani humu umemvumilia vya kutosha sasa basi?

Khaaa!!!
Tuasili mtoto bhana.
Mie nishafika at the peak....🙁🙁🙁🙁🙁
Hapana hiyo itakuwa ngumu... lazima tutafute hata mtoto mmoja. Au tutaasili mtoto wa atakayebahatika kuwa mchepuko wangu
 
Kweli binadamu tunatofautiana, mimi toka nimejiunga Jf sijawahi hata kukwazana/kupishana kauli/ kugombana na ID yoyote kwa namna yoyote ile. Nikiona kitu hakinifurahishi nakaa tu pembeni

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Umenena vyema kabisa, binadamu tunatofautiana kwenye personality traits. Na hii inani1fanya mimi niwe mimi na wewe uwe wewe.
 
Back
Top Bottom