Wacha tu.
Kuna lidau limoja humu kwenye jukwaa moja humunJF anadhani anajua yote. Know it all!
Huwa akiposti maoni yake kana kwamba ni sheria, humwambii kitu ni lazima abishane. Anajiona yuko sahihi,anajiona
Smart911 ana akili kuliko wengine, mdau huyu bana.π
π
To yeye ni Kwini wa Kutovumilia, ni kwini wa mijadala, yeye ni kwini wa majivuno.
Naeza
Proved ni troll wa jukwaa,
GENTAMYCIME he's the pest of the site na
Lucas mwashambwa ni mwiba kwa wengi
π
We acha tu
Halafu kuna mwingine huyu,
brazaj pinga pinga kila mara
Erythrocyte na mapicha yake ya ngozi zilizojaa mavumbi π
π³na
Tindo π‘ yeye huwa ananitukana mara kwa mara, anaudhi sana na
zitto junior he always bothers me. Akiwemo jukwaani. Hata hivyo, he is the master of debates
We acha tu
I declare, Mimi
SYLLOGIST! I making peace with myself and others, kukuza mazingira ya uvumilivu.
Amani iwafikie nyote niliowakwaza na wale nitakaoenda kuwakwaza mbeleni.
πππππππππ
π