EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,099
- 25,347
Jamaa ndo Paul Makonda wa JamiiForums hahahaaa....Hakuna mtu nnae mvumilia Kama Luka Mwashambwa huyu Anko ananikwaza Sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa ndo Paul Makonda wa JamiiForums hahahaaa....Hakuna mtu nnae mvumilia Kama Luka Mwashambwa huyu Anko ananikwaza Sana.
Haha wanaume sio watu wazuriMdogo wangu wanaume hawa....walichonifanya, siri yangu.
Zamani nilikuwa nashangaa kwanini wanawake au wanaume wanajioa, ila nimekua....nimeyaona
Huonekani jukwaani siku nyingi, kwema.?Mie mwenyewe nimechoka kujivumilia.
Najitamani hata nijioe mwenyewe....
Mbona unasagia Kunguni bibie ?Mdogo wangu wanaume hawa....walichonifanya, siri yangu.
Zamani nilikuwa nashangaa kwanini wanawake au wanaume wanajioa, ila nimekua....nimeyaona
Nipo ndugu.Umeadimika sister.
Sawa, ila niko serious ujue.Nitaanza kukushauri rasmi kesho👐
Hasa hawa wapaka podaHaha wanaume sio watu wazuri
Huku kwema tu...hali ndo kama hii.Huonekani jukwaani siku nyingi, kwema.?
Nimechoka tu na majanga ya duniaMbona unasagia Kunguni bibie ?
Dodoma sio.?Huku kwema tu...hali ndo kama hii.
Majanga bhablai!!
@Lamomy wizo wako hana tatizo na mtu[emoji23]BICHWA KOMWE a.k.a BICHWA TUFE, BICHWA BAPA
Ndio mdogo wanguDodoma sio.?
Siku ya uvumilivu ikiisha ndio nitajua🤣🤣🤣🤣🤣
Mweeeh!! Sasa itakuwaje!
Jamani! Are you seriously? Au umetaka kunionea tu😔@To yeye ni Kwini wa Kutovumilia, ni kwini wa mijadala, yeye ni kwini wa majivuno.
Tangu 2011 huko tunavumilia mengi,halafu nimekumiss tangu kama miaka 5 iliyopitaMie mwenyewe nimechoka kujivumilia.
Najitamani hata nijioe mwenyewe....