Leo ni siku ya kuvumiliana duniani. Ni member gani humu umemvumilia vya kutosha sasa basi?

Leo ni siku ya kuvumiliana duniani. Ni member gani humu umemvumilia vya kutosha sasa basi?

Wacha tu.
Kuna lidau limoja humu kwenye jukwaa moja humunJF anadhani anajua yote. Know it all!

Huwa akiposti maoni yake kana kwamba ni sheria, humwambii kitu ni lazima abishane. Anajiona yuko sahihi,anajiona Smart911 ana akili kuliko wengine, mdau huyu bana.😅😂

To yeye ni Kwini wa Kutovumilia, ni kwini wa mijadala, yeye ni kwini wa majivuno.

Naeza Proved ni troll wa jukwaa, GENTAMYCIME he's the pest of the site na Lucas mwashambwa ni mwiba kwa wengi
😂
We acha tu

Halafu kuna mwingine huyu, brazaj pinga pinga kila mara Erythrocyte na mapicha yake ya ngozi zilizojaa mavumbi 😅😳na Tindo 😡 yeye huwa ananitukana mara kwa mara, anaudhi sana na zitto junior he always bothers me. Akiwemo jukwaani. Hata hivyo, he is the master of debates

We acha tu

I declare, Mimi SYLLOGIST! I making peace with myself and others, kukuza mazingira ya uvumilivu.

Amani iwafikie nyote niliowakwaza na wale nitakaoenda kuwakwaza mbeleni.


😂😂😂😂😂😂😂😂😂😎
 
Back
Top Bottom