Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Utanialika kwenye hiyo sherehe ya ndoa yakoMe nataka nijioe mwenyewe
Uje Malaika wanguSawa madame nakuja Pm
....π³π³π³Na mimi najiungamanisha na penzi lako. Tafadhali niteue kuwa spika wa bunge la moyo wako. Nitakupenda kuliko Mdude anavyopenda maandamano.
Utanialika kwenye hiyo sherehe ya ndoa yako
Aisee kweli yupo huyo kichaa japo simzingatiagiKuna mwamba hapa saivi kila ukicoment kazi yake ku dislike simwelewi
Cha ajabu akipita thread flan anadislike zoteπ π
Hee[emoji15]Wengi tu Glenn mie nimemvumilia nimemchoka ni muongo , halafu nimezichoka ID mpya zikinidiss bila sababu
Mamilioni ya watanzania wame neemeka na uongozi wa mama Samia...[emoji1][emoji1]Watanzania watetemeka Lucas mwashambwa
π€£π€£πππ€£π€£ mwana wa dislikeKuna mwamba hapa saivi kila ukicoment kazi yake ku dislike simwelewi
Cha ajabu akipita thread flan anadislike zoteπ π
Kuna siku nikajiuliza au nmeandika ujumbe tofauti na post au nimemtukana mtu? Kucheki kila comment amedislikeπ€£π€£πππ€£π€£ mwana wa dislike
Ukute ndio weweππ€£π€£πππ€£π€£ mwana wa dislike
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mie mwenyewe nimechoka kujivumilia.
Najitamani hata nijioe mwenyewe....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]BICHWA KOMWE a.k.a BICHWA TUFE, BICHWA BAPA