Leo ni siku ya kuvumiliana duniani. Ni member gani humu umemvumilia vya kutosha sasa basi?

Leo ni siku ya kuvumiliana duniani. Ni member gani humu umemvumilia vya kutosha sasa basi?

Na mimi najiungamanisha na penzi lako. Tafadhali niteue kuwa spika wa bunge la moyo wako. Nitakupenda kuliko Mdude anavyopenda maandamano.
....😳😳😳
Inaonekana nitalifaidi sana penzi lako maana sio kwa mistari hii kipenzi.
Nami naahidi kukulinda kuliko kuku alindaye vifaranga vyake...
 
Back
Top Bottom