Leo ni siku ya kuvumiliana duniani. Ni member gani humu umemvumilia vya kutosha sasa basi?

Poleni wapendwa tuvumuliane tu maisha yenyewe ndo haya haya [emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani,maisha haya humu tunavumiliana ki maandishi[emoji23],na tunaumia kimoyomoyo[emoji1787][emoji1787]

Binadamu bhana, nakumbuka kuna mmoja alishawahi nitemea nyongo kuhusu matani yangu na jamaa mmoja hivi kwenye uzi wa vituko[emoji23],,,,nikajisemea kumbe anaumia huyu lkn ananivumilia tu,nikaishia kucheka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…